wakuu mmewahi sn kununua mngesubiri kdg kuna king'amuzi kinakuja kinaitwa digtek! hicho antena ya ndani tu mambo yanajipa!
tatizo la kutopata sauti ni dogo: hiyo limoti ya kingamuzi chako ukiiangalia vizuri kuna batoni moja nyekundu juu kabisa upande wa kulia, chini yake kuna batoni nyingine imeandikwa TRACK ibonyeze itakuletea Option fulani bonyeza CH+ alafu bonyeza VOL+ itakuletea maneno matatu kati ya maneno mojawapo litakua ni CENTRE libonyeze: tatizo lako la sauti litakua limeisha Mkuu; kumbuka ukifanya hivyo uwe tayari ume select channel husika, kama ni ITV au EATVHata mimii nilitegemea msaada lakini nimetoka kapa. Napata itv na eatv napata picha bila sauti. Siku hizi naangalia tbc tu. Simba amezidiwa na sasa anakula majani.
kwahiyo mnataka sema mitambo ya analojia bado inapiga mzigo maana kisarawe na makongo juu c ndo walizima mitambo
Hata mimii nilitegemea msaada lakini nimetoka kapa. Napata itv na eatv napata picha bila sauti. Siku hizi naangalia tbc tu. Simba amezidiwa na sasa anakula majani.
Geuzieni ulipo mnara wa kurushia matangazoTunaokaa Kisarawe tunatakiwa tugeuzie wapi!?
tatizo la kutopata sauti ni dogo: hiyo limoti ya kingamuzi chako ukiiangalia vizuri kuna batoni moja nyekundu juu kabisa upande wa kulia, chini yake kuna batoni nyingine imeandikwa TRACK ibonyeze itakuletea Option fulani bonyeza CH+ alafu bonyeza VOL+ itakuletea maneno matatu kati ya maneno mojawapo litakua ni CENTRE libonyeze: tatizo lako la sauti litakua limeisha Mkuu; kumbuka ukifanya hivyo uwe tayari ume select channel husika, kama ni ITV au EATV
Mkuu ukitaka kupata sauti kwenye ITV na EATV fanya yafutayo:- (nimajaribu mwenyewe na inafanya kazi):-
1... Kwenye Remote yako bonyeza kitufe kilichondikwa "TRACK"
2... Chagua "Audio Track" Katika "Setup Options"
3... Kwenye Audio Track Jaribu kuchagua mojawapo kati ya "Stereo", "Left", au "Right"

ZUKU TV ndio mwisho wa matatizo kwa anaetaka ani PM ..mimi ni agent ..
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mi nilidhani kwa ujio wa digitali habari ya kugeuzia antena Kisarawe ndio basi tena lakini kumbe bado ipo.,kweli tumeliwa
frankly speaking nimekitupia changu juu ya kabati na nimeridhka kuwa ctawah kuangalia tv mpaka ntakapopata pesa.. Antena nilgeuzia hadi kibla lakn wapi
Tunaokaa Kisarawe tunatakiwa tugeuzie wapi!?
Mi antena yangu ni ya miba, haiwezi kuelekea mawinguni. Kila mtu anaambiwa aelekeze kwetu huku kisarawe, sisi wa hukuhuku kisarawe hatupati, sembuse nyinyi huko.
Waulizeni vizuri hao star-times