kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,785
- 20,161
Habarini wandugu naulizia kuhusu startimes
Hawa jamaa wanauza antenna zao ghali sana
Hivi nikinunua decoder yao bila hizo antenna zao halafu nikaja kutengeneza ya kwangu tu huku mtaani ya vichuma decoder yao itakamata channel? Si unajua tena vile viantenna vyetu tunavyotengeneza wenyewe kwa vijiko na vyuma huku uswazi
au ni mpaka antenna yao?