Star TV mjutie na mjifunze

Star TV mjutie na mjifunze

mbona unalia kwa kurusharusha miguu kwani rev.mtikilah alikuwa mjomba ako au ccm ndiyo mama yako au dk.POMBE ni jirani yako

mbona sioni wanachama wake wakimlilia kwa huzuni, naona mqgamba tu ndo yanalialia hapa, mlikuwa na agenda gani ya siri na huyu marehemu? tangia lini magamba yakamsifia mtu wa upinzani?'tulieni dawa iingieee! ngumi moja manundu laki moja ...
 
Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.

Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho.

Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.

Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowassa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi.

Aliyemuua Mtikila ni yule mzee anayejinyea kwenye nguo, huyo mzee wa kujinyea ni mshirikina sana tena sana. Tazama watu wanaomshabikia, wako kama wamepumbazwa akili zao kishirikina, waangalie vizuri hawajui wanashabikia nini yaani wako kama Manyumbu tu. Mimi simuogopi hata kidogo huyo mzee wa kunya kwenye nguo na wala siogopi kufa. Huyo mzee ndio amesababisha kifo cha Mtikila halafu misukule wake wanaandika humu JF eti ni mpango wa Mungu. Endeleeni kumsingizia Mungu na vitu msivyovijua.
 
Kwa nguvu za freemason,anazotumia,chini ya misukule ya gwajima na kingunge,Hazitasaidia mungu wa taifa hili hatasimama tu mbele ya haki,
Hugo mungu was Tanzania ni wa ajabu sana, lkn wote watapiga magoti mbele za Mungu aliyehai siyo huyu anayeruhusu ufisadi na uongo.
 
Aliyemuua Mtikila ni yule mzee anayejinyea kwenye nguo, huyo mzee wa kujinyea ni mshirikina sana tena sana. Tazama watu wanaomshabikia, wako kama wamepumbazwa akili zao kishirikina, waangalihawajui wanashabikia nini yaani wako kama Manyumbu tu. Mimi simuogopi hata kidogo huyo mzee wa kunya kwenye nguo na wala siogopi kufa. Huyo mzee ndio amesababisha kifo cha Mtikila halafu misukule wake wanaandiEndeleenmsivyovijua.
[/QUOT kijani na njano wametoa sadaka kwa miungu wao, wale was sheikh yahya!
 
Aliyemuua Mtikila ni yule mzee anayejinyea kwenye nguo, huyo mzee wa kujinyea ni mshirikina sana tena sana. Tazama watu wanaomshabikia, wako kama wamepumbazwa akili zao kishirikina, waangalie vizuri hawajui wanashabikia nini yaani wako kama Manyumbu tu. Mimi simuogopi hata kidogo huyo mzee wa kunya kwenye nguo na wala siogopi kufa. Huyo mzee ndio amesababisha kifo cha Mtikila halafu misukule wake wanaandika humu JF eti ni mpango wa Mungu. Endeleeni kumsingizia Mungu na vitu msivyovijua.

Unaongea bila kuwa na ushahidi, je tukisema mwenyekiti wako ndo kahusika utaamini?
 
Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.

Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho.

Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.

Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowassa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi.

Inaonekana Mtikila alikuwa anawahi kipindi cha leo Startv. Nilimsikia mtangazaji wao akisema hivyo; na kudokeza kwamba amearifiwa Mch. Mtikila amepata ajali.
 
mbona ya kwako ITV hujaisema unataka kutuambia wewe mtikila kafa kwa ajil ya lowasa
kama huna mda wa kusoma wengine basi usichangia,unajivua nguo
Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.
 
Aliyemuua Mtikila ni yule mzee anayejinyea kwenye nguo, huyo mzee wa kujinyea ni mshirikina sana tena sana. Tazama watu wanaomshabikia, wako kama wamepumbazwa akili zao kishirikina, waangalie vizuri hawajui wanashabikia nini yaani wako kama Manyumbu tu. Mimi simuogopi hata kidogo huyo mzee wa kunya kwenye nguo na wala siogopi kufa. Huyo mzee ndio amesababisha kifo cha Mtikila halafu misukule wake wanaandika humu JF eti ni mpango wa Mungu. Endeleeni kumsingizia Mungu na vitu msivyovijua.
unaweza kueleza jinsi huyo mzee alivyomuua Mtikila?
 
chunga kauli lowassa ni haonewi na kusemwa ovyo waulize wanaomsema vibaya wako wapi viva lowassa piga kazi usimjibu mtu mungu atawajibu

Duh! ............... MAADUI WALIKUWA WANAMFUATILIA KWA NYUMA.......... ALIPOJISHTUKIA AKAONGEZA SPIDI.............. NAO WAKAFURAHI NA KUZIDI KUMFUKUZA! ................... WALIPOFIKA SEHEMU HATARISHI, YENYE KONA NYINGI NYINGI, WALIMUOVATEKI KWA SPIDI KALI NA KUMTWANGA 'LASER BEAM' YA MACHONI ................!
pirate-skull-crossbones-pink-hi.png
 
Wazima wote walioko ccm na startv watatangulia na lowassa ambaye ni mgonjwa mungu atamvusha. Anthony Dialo asome maandiko matakatifu juu ya mateso waliyopata wana wa Israel lakini mungu aliposema imetosha akamtoa nabii Mussa aliyekuwa akiishi Ikulu ya Farao na kwenda kuwakomboa waja wake. Startv ipo leo kutumika kutukana wana wa Israel lakini kesho mungu anaweza kuipelekea moto kama ule wa Sodoma na Gomola na kubaki historia.
Na watangazaji mnaokubali kushiriki uovu huo kwa tamaa ya ajira mkatubu mapema kwani fimbo ya Mussa hamtaiepuka kamwe
 
Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.

Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho.

Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.

Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowassa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi.

Ina maana wewe hujasikitika kifo cha binadamu mwenzako?
 
Mie star TV naangaliaga kipindi cha BBC saa tatu usiku basi
 
Star TV inatakiwa ijue kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi.As for me,naona ratings za Star TV zimeshuka na zitashuka kuliko hata za TBC...ni hatari kwa media kama Star TV kutumika hivyo kisiasa bila kuzingatia weledi wa utoaji habari..Waangalie Azam TV wanafanyaje kazi!
Nilikuwa mpenzi mkubwa wa Star Tv lakini baada ya kuona namna wanavoegemea upande mmoja niliacha kabisa kuiangalia. hata magazetini ashubuhi katika RFA niliacha kabisa. Azam na ITV wamezingatia usawa katika habari zao.
 
Ukifuatilia utaona, wanaoalikwa kwenye vipindi star TV ni wale wenye mrengo wa kijani...lakini pia wasema hovyo media kama ITV hawawezi kumualika msema hovyo...maana wanajitambua. Viva ITV
 
Bado mpaka ifike 25 October wataondoka wengi sana,Mungu hadhihakiwi,kila MTU anayo haki yakuishi na kuthaminiwa,ugonjwa wa MTU sio kigezo chakumbagua,Mungu ndiye anayejua mwisho WA MTU
 
na inasemekana hiii ni njama ya lowasa ili asishitakiwe!!!! ila cdm ni hatari walimuua chachawangwe na huyu mtikila mmemkolimba

hivi hiii ikulu kuna nini?????????? lowasa ukija kwetu huku nitajitoa mhanga tuone hio jeuri unaitoa wapi pumbavu lowasa

Kwa kesi ipi?
aliyekuambia UFISADI unashtakiw ana mtu binafsi nani?
 
Back
Top Bottom