M CM
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 2,498
- 1,484
Yaani wewe ni kiazi kweli mbona tangu alipoacha uwari mkuu hamjamshitaki kama alikuwa na hatia. Naona mmekuwa mazuzu kwa kumwaza lowasa am sure mungu atamlinda mja wake siku zoote.na inasemekana hiii ni njama ya lowasa ili asishitakiwe!!!! ila cdm ni hatari walimuua chachawangwe na huyu mtikila mmemkolimba
hivi hiii ikulu kuna nini?????????? lowasa ukija kwetu huku nitajitoa mhanga tuone hio jeuri unaitoa wapi pumbavu lowasa
Ni nani aliyewaambia kuwa nyie ndo hati miliki ya ikulu? enyi wezi wa rasilimali zetu ni nani aliyewaroga?