Aliyemuua Mtikila ni yule mzee anayejinyea kwenye nguo, huyo mzee wa kujinyea ni mshirikina sana tena sana. Tazama watu wanaomshabikia, wako kama wamepumbazwa akili zao kishirikina, waangalie vizuri hawajui wanashabikia nini yaani wako kama Manyumbu tu. Mimi simuogopi hata kidogo huyo mzee wa kunya kwenye nguo na wala siogopi kufa. Huyo mzee ndio amesababisha kifo cha Mtikila halafu misukule wake wanaandika humu JF eti ni mpango wa Mungu. Endeleeni kumsingizia Mungu na vitu msivyovijua.
atakuwa rais kuhusu kunya nawe kunya kama unaona wivu hayo mengine nadhani ID yako na msaada wa mods utatusaidia kuchukua ushahin mana unanekana kujua kila kitu