Star TV mjutie na mjifunze

Star TV mjutie na mjifunze

Mungu anisamehe ningependa nepi afuate japo hata mimi ni marehemu mtarajiwa. Wanachukiza sana hawa watu harafu mbaya zaidi yanaingia makanisani yakiwa yameshikilia bible.

Hahahahahaaaaaaa Mkuu nimecheka vibaya sana...
Hahahahaaa eti nepi afate!
 
Ashindwe kutumia mahakama zilizopo angoje aunde mahakama ya mafisadi.
Kweli nyie wanalumumba mnatongozeka kaa makah......
 
Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.

Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho.

Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.

Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowassa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi.

Acha upumbavu kulinganisha maisha ya binadamu na ulimbukeni wako wa Siasa, MBOWE NA KUNDI LAKE WALIVYOTUHABARISHA UFISADI WA LOWASA KABLA HAJAWANUNUA NAO WALISTAHILI KIFO KAMA UNAVYOANDIKA HAPA KWA KUCHEKELEA?
 
Station yao niko tu jilan nao, staki kuiona hata kwenye king'amuzi

Hivi ukiacha kuangalia STAR TV mjinga kama wewe unayetaka kuwapangia watu matumizi ya mali zao unadhani kwa ujinga wako utaleta impact yoyote kwenye jamii? STAR TV wanatangaza kile kinachowalipa halafu wewe unataka habari ulizopanga wewe na mkeo ndiyo zitangazwe anzisha TV yako mjinga wewe.
 
Watajuta hao star tv mbona tushawajua kwamba nao ndio walewale wana nidhamu ya woga, bigup itv
 
a)mtikira+kombani+mkangara=(tayari)
a)nape+mwigulu+makamba+makongoro+msukuma+bulembo=(bado)

ahahaha,
chunga kauri zako

Kwani hawa nao huwa wanamtukana sana Lowasa? Mbona nilisikia Magufuli kawakataza hataki siasa za matusi?
 
Hivi ukiacha kuangalia STAR TV mjinga kama wewe unayetaka kuwapangia watu matumizi ya mali zao unadhani kwa ujinga wako utaleta impact yoyote kwenye jamii? STAR TV wanatangaza kile kinachowalipa halafu wewe unataka habari ulizopanga wewe na mkeo ndiyo zitangazwe anzisha TV yako mjinga wewe.

Hili si jibu la kistaarabu pia si kwamba ukawa wameshindwa kumiliki TV , pia hv kila mtua akianzisha kituo cha TV itakuaje nani ataangalia cha mwenzake? Star TV wanapaswa watambue kuwa kuna maisha baada ya tarehe 25 October.
 
Acha upumbavu kulinganisha maisha ya binadamu na ulimbukeni wako wa Siasa, MBOWE NA KUNDI LAKE WALIVYOTUHABARISHA UFISADI WA LOWASA KABLA HAJAWANUNUA NAO WALISTAHILI KIFO KAMA UNAVYOANDIKA HAPA KWA KUCHEKELEA?[/QUOTE. Kuna maisha baada ya uchaguzi ni vyema busara zikazingatiwa zaidi
 
star tv na redio free nawapendea kitu kimoja, kutupeleka bbc, baada ya hapo mh!! huwa naelekea kwingine kusaka habari mwanana.
 
Acha upumbavu kulinganisha maisha ya binadamu na ulimbukeni wako wa Siasa, MBOWE NA KUNDI LAKE WALIVYOTUHABARISHA UFISADI WA LOWASA KABLA HAJAWANUNUA NAO WALISTAHILI KIFO KAMA UNAVYOANDIKA HAPA KWA KUCHEKELEA?
umeridhi mikoba ya kutukana?
 
Uchaguzi ukimalizika lazima maisha yaendelee ni vyema wamiliki wa vyombo vya habari wakazingatia habari za pande zote (balance) kama walivyo itv, Chanel ten, Azam ,clouds, mlimani nk, tabia ya kuegemea au kupendelea upande mmoja pekee bila kuwajali Watanzania haijengi pia inapunguza watazamaji na wasikilizaji wa TV au Radio ,hata wadhamini wa Matangazo watakimbia kwani wanakuwa na wasiwasi na Matangazo ya udhamini wao kuwafikia wengi, ni vyema hata TBC wajue kuwa hiyo ni TV ya Taifa haipaswi kuwa ya kupendelea upande mmoja tu.
 
chunga kauli lowassa ni haonewi na kusemwa ovyo waulize wanaomsema vibaya wako wapi viva lowassa piga kazi usimjibu mtu mungu atawajibu

huyu MUNGU wa upande wke tu mmmmh sawa boss nahisi jamaa ataishi milele na hatakiwi kusemwa vibaya hata kama katenda maovu
 
Back
Top Bottom