Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
ninahamu sana na hili zimwi nalisubili lifike huku Ndio nitatoa ushahidi stayed stunned atoke zenji aje kwetu hilo zezeta limaloumwa kideli
LIMALO? Mushuti wewe
ninahamu sana na hili zimwi nalisubili lifike huku Ndio nitatoa ushahidi stayed stunned atoke zenji aje kwetu hilo zezeta limaloumwa kideli
Hivi Leo hakuwa anangojewa kwa mwendelezo?
watz tunashindwa kuelewa jambo moja. Kama mhe lowasa asingekuwa mgombea wa nafasi nyeti ya urais nani angeshughulika naye. Kwa nafasi hiyo anayowania taka usitake atasemwa tu, kwa uzuri au kwa ubaya ni lazima atasakamwa. Vinginevyo ajiengue kwenye safari yake ya matumaini. Kwani ni yeye nani asijadiliwe, ni mtume? Ni mungu mtu? Kwani mhe. Magufuli hasemwi? Hatukanwi? Kwani anna mghwira hatukanwi? Kwani wagombea ubunge hawatukanwi? Kama rais jk kila siku anatunwa mitandaoni bila woga kwa kiongozi mkuu ya nchi sembuse mtu anaiota ikulu siku 20 bado mbali. Mti wa matunda hutupiwa mawe kuona yameiva.
Siasa za chuki ni mbaya sana.
ITV na kasikazin
Ni kweli kazi hiyo mnaiweza maana mkitila amekuwa mpinzani miaka mungu sana na tena bigwa wa kusema machafu ya serikali na kutoka kuwapeleka mahakama ni,lakini amegusa shetani lenu tayari mumemtoa roho,na nyie mtakufa tu,
Mlipompa sumu mwakyembe mungu akawapa kiarusi adi sasa mnaangaika nacho sasa UA wote na nyie mtakufa tu,
na inasemekana hiii ni njama ya lowasa ili asishitakiwe!!!! ila cdm ni hatari walimuua chachawangwe na huyu mtikila mmemkolimba
hivi hiii ikulu kuna nini?????????? lowasa ukija kwetu huku nitajitoa mhanga tuone hio jeuri unaitoa wapi pumbavu lowasa
Shetani linataka kwenda ikulu kwa juwamaliza wapinzani wake,kisa ikulu el ikulu kuna mikataba gani na maagent wako unataka kuipeleka,
unadhan kama kila mtu atatukana hii nchi itakuwa ni danguro sasa.tushindane kwa hoja sio matusi na kashfaKila mtu ana haki ya kutoa maoni yake yawe hasi au chanya siasa ndo ilivyo R.I.P MPINZANI WA KWELI MTIKILA UMEONDOKA UKIWA MWANASIASA AISYE TETEREKA NA ULIKUA UNA NDOTO YA KUTUTUMIKIA WATANZANIA UTAKUMBUKWA KWA MCHANGO WAKO
Kwa nguvu za freemason,anazotumia,chini ya misukule ya gwajima na kingunge,Hazitasaidia mungu wa taifa hili hatasimama tu mbele ya haki,
unadhan kama kila mtu atatukana hii nchi itakuwa ni danguro sasa.tushindane kwa hoja sio matusi na kashfa
Mungu si Mungu wa visasi...Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo daima ni Mungu mwema
Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.
Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho.
Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.
Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowassa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi.
Star TV inatakiwa ijue kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi.As for me,naona ratings za Star TV zimeshuka na zitashuka kuliko hata za TBC...ni hatari kwa media kama Star TV kutumika hivyo kisiasa bila kuzingatia weledi wa utoaji habari..Waangalie Azam TV wanafanyaje kazi!