Star TV mjutie na mjifunze

Star TV mjutie na mjifunze

Dada una hasira na matusi kama kawaida ya ccm. Mnadhani mnahati miliki ya hii nchi ndo mana mna viburi vya
1. Kutaburia watu vifo
2. Kudhalilisha watu
3. Kutukana watu- malofa, wapumbavu kama ulivyofanya wewe
Lakini bado huwa tunawambia haya yana mwisho mnajidai vichwa ngumu hamuelewi. Ila mtaelewa tu.

Kwa nguvu za freemason,anazotumia,chini ya misukule ya gwajima na kingunge,Hazitasaidia mungu wa taifa hili hatasimama tu mbele ya haki,
 
Star TV inatakiwa ijue kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi.As for me,naona ratings za Star TV zimeshuka na zitashuka kuliko hata za TBC...ni hatari kwa media kama Star TV kutumika hivyo kisiasa bila kuzingatia weledi wa utoaji habari..Waangalie Azam TV wanafanyaje kazi!

Bosi wao aliwahi kuwa waziri wa maliasili na utalii; labda safari hii kaahidiwa wizara ya nishati aongeze kituo kingine cha tv. Pia suala la ukanda na ukabila hapo haliepukiki
 
Shetani wewe unayeshsbikia shetani linalotaka kwenda ikulu kwa kumaliza wapinzani wake,mungu atalisaidia taifa lake,

a)mtikira+kombani+mkangara=(tayari)
a)nape+mwigulu+makamba+makongoro+msukuma+bulembo=(bado)

ahahaha,
chunga kauri zako
 
Bosi wao aliwahi kuwa waziri wa maliasili na utalii; labda safari hii kaahidiwa wizara ya nishati aongeze kituo kingine cha tv. Pia suala la ukanda na ukabila hapo haliepukiki
K
Kamwambie mgombea wako hata akiwamaliza duniani wapinzani wake wa kisiasa nae hataishi milele,
 
Wewe ni mpumbaavu. Kwani lowasa tangu lini msafi? Mbona huyo anatakiwa auawe kwa kuchomwa moto! Ni mwizi na fisadi asubiri tu kufungwa Dr Magufuli akichukua nchi. Na kwa taarifa yako hata mbwa wangu hataki kusikia lowasa.

Tell me your friend I will tell you your behaviour ...kama rafiki yako mkuu ni mbwa na ww jibwa tu!!
 
Uache unyani na ww kwa kuwa rushwa zimewakaa mnahisi kwamba si kifo cha kutengeneza naamini lowassa/chadema/ukawa kwa mtindo wao huu kamwe hawatoiona wala kuonja lkulu never ever

Kwa kura zetu wataenda ikulu na si kwa kelele zako
 
Wewe ni mpumbaavu. Kwani lowasa tangu lini msafi? Mbona huyo anatakiwa auawe kwa kuchomwa moto! Ni mwizi na fisadi asubiri tu kufungwa Dr Magufuli akichukua nchi. Na kwa taarifa yako hata mbwa wangu hataki kusikia lowasa.

Mwambie mbwa wako ampigie Magufuli kura.
 
a)mtikira+kombani+mkangara=(tayari)
a)nape+mwigulu+makamba+makongoro+msukuma+bulembo=(bado)

ahahaha,
chunga kauri zako

Shetani linataka kwenda ikulu kwa juwamaliza wapinzani wake,kisa ikulu el ikulu kuna mikataba gani na maagent wako unataka kuipeleka,
 
na inasemekana hiii ni njama ya lowasa ili asishitakiwe!!!! ila cdm ni hatari walimuua chachawangwe na huyu mtikila mmemkolimba

hivi hiii ikulu kuna nini?????????? lowasa ukija kwetu huku nitajitoa mhanga tuone hio jeuri unaitoa wapi pumbavu lowasa
 
Kwa nguvu za freemason,anazotumia,chini ya misukule ya gwajima na kingunge,Hazitasaidia mungu wa taifa hili hatasimama tu mbele ya haki,

Haki kwa Watesi wa yatima na wajane?
 
Shetani wewe unayeshsbikia shetani linalotaka kwenda ikulu kwa kumaliza wapinzani wake,mungu atalisaidia taifa lake,

Una ushahidi na unachoongea, au unaongea Kwa msukumo wa kisiasa. Lowassa hazuiliki HV sasa mmeanza na propaganda za ufreemarson. 25th oct
 
Mungu anisamehe ningependa nepi afuate japo hata mimi ni marehemu mtarajiwa. Wanachukiza sana hawa watu harafu mbaya zaidi yanaingia makanisani yakiwa yameshikilia bible.

Ni kweli kazi hiyo mnaiweza maana mkitila amekuwa mpinzani miaka mungu sana na tena bigwa wa kusema machafu ya serikali na kutoka kuwapeleka mahakama ni,lakini amegusa shetani lenu tayari mumemtoa roho,na nyie mtakufa tu,
Mlipompa sumu mwakyembe mungu akawapa kiarusi adi sasa mnaangaika nacho sasa UA wote na nyie mtakufa tu,
 
Wewe ni mpumbaavu. Kwani lowasa tangu lini msafi? Mbona huyo anatakiwa auawe kwa kuchomwa moto! Ni mwizi na fisadi asubiri tu kufungwa Dr Magufuli akichukua nchi. Na kwa taarifa yako hata mbwa wangu hataki kusikia lowasa.

Lini ulianza kujua km Lowasa ni Fisadi
 
Na wewe kapigie kura shetani lako linalotaka kwenda ikulu kwa kuwamaliza wapinzani wake,
We mngese kaa kimyaaa! Sisi adui huwa tunamuombea njaaa tu.nyie magamba si mlituombea ubaya siku zote...we pia kama gamba potelea mbaliiii
 
Wewe ni mpumbaavu. Kwani lowasa tangu lini msafi? Mbona huyo anatakiwa auawe kwa kuchomwa moto! Ni mwizi na fisadi asubiri tu kufungwa Dr Magufuli akichukua nchi. Na kwa taarifa yako hata mbwa wangu hataki kusikia lowasa.

Mbwa wako ana akili kubwa kuliko wewe.
 
Jamani R I P mtikila
Ila iwe gundisho kuna watu ni wagonjwa tena wapo kitandani for 10 years, kuna watu wana cancer, kuna watu ni mavictim HIV but wanaishi ila wewe ujionae uko healthy unakufa wao wapo. Tujifunze kila mtu ni marehemu mtarajiwa no matter how healthily you ar
 
Una ushahidi na unachoongea, au unaongea Kwa msukumo wa kisiasa. Lowassa hazuiliki HV sasa mmeanza na propaganda za ufreemarson. 25th oct

Shetani kuingia ikulu ni ndoto tutalizuia hata kwa makombora labda ayafanyie nguvu za Giza yasifanye kazi,
 
Back
Top Bottom