Justinejm
Senior Member
- Jul 6, 2015
- 129
- 26
Unauhakika!? Mi naona na wewe na jazba zako unaweza ukanitangulia, eti shetani!
MUNGU yupo tena yupo upande wa Edward Lowassa kwa taarifa yako! Unafikiri mamilioni wenye haki waliojitolea kumuombea afya njema kwa MUNGU, MUNGU hajawasikia!?
Mwambie .....!