mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 95,862
- 136,765
Yule mjinga ah mkinga njaaa kali sanaMkinga amepigwa marufuku kabisa ITV kwa sababu ya mitusi yake
Yule mjinga ah mkinga njaaa kali sanaMkinga amepigwa marufuku kabisa ITV kwa sababu ya mitusi yake
Shetani wewe unayeshsbikia shetani linalotaka kwenda ikulu kwa kumaliza wapinzani wake,mungu atalisaidia taifa lake,
Kwa nguvu za freemason,anazotumia,chini ya misukule ya gwajima na kingunge,Hazitasaidia mungu wa taifa hili hatasimama tu mbele ya haki,
na inasemekana hiii ni njama ya lowasa ili asishitakiwe!!!! ila cdm ni hatari walimuua chachawangwe na huyu mtikila mmemkolimba
hivi hiii ikulu kuna nini?????????? lowasa ukija kwetu huku nitajitoa mhanga tuone hio jeuri unaitoa wapi pumbavu lowasa
Wewe ni mpumbaavu. Kwani lowasa tangu lini msafi? Mbona huyo anatakiwa auawe kwa kuchomwa moto! Ni mwizi na fisadi asubiri tu kufungwa Dr Magufuli akichukua nchi. Na kwa taarifa yako hata mbwa wangu hataki kusikia lowasa.
Jamani R I P mtikila
Ila iwe gundisho kuna watu ni wagonjwa tena wapo kitandani for 10 years, kuna watu wana cancer, kuna watu ni mavictim HIV but wanaishi ila wewe ujionae uko healthy unakufa wao wapo. Tujifunze kila mtu ni marehemu mtarajiwa no matter how healthily you ar
Wewe ni mpumbaavu. Kwani lowasa tangu lini msafi? Mbona huyo anatakiwa auawe kwa kuchomwa moto! Ni mwizi na fisadi asubiri tu kufungwa Dr Magufuli akichukua nchi. Na kwa taarifa yako hata mbwa wangu hataki kusikia lowasa.
Sijawai kuona mtu lofa kama wewe.Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.
Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho.
Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.
Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowassa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi.
na inasemekana hiii ni njama ya lowasa ili asishitakiwe!!!! ila cdm ni hatari walimuua chachawangwe na huyu mtikila mmemkolimba
hivi hiii ikulu kuna nini?????????? lowasa ukija kwetu huku nitajitoa mhanga tuone hio jeuri unaitoa wapi pumbavu lowasa
kwa sasa mtikila ana wasaha mzuri wa kumtukana lowasa, maana anajua siku zake.
Mbona hii ya Kolimba umeisahau kuifafanua?
Hivi kuna watu bado wanataza star TV?