Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Mwaka huu Lowasa atawatagisha Mayai GAMBAZ manake mmevurugwa sikidogo....Kwahiyo mlitegemea kutawala milele hii Nchi jinga kabisa
Mwaka huu ndio mwisho wao na wanahaha kama simba mzee
Mwaka huu Lowasa atawatagisha Mayai GAMBAZ manake mmevurugwa sikidogo....Kwahiyo mlitegemea kutawala milele hii Nchi jinga kabisa
unaweza eleza kidogo jinsi Chadema walivyomuua?Chadema ni chama cha maharamia. Angalia ile maiti haina hata mchubuko. Mtoa mada ni mnafiki sana. Je aliyokuwa akiyasema Mtokila yalikuwa ya uongo? Sasa mmemuua ili kumziba mdomo. Wananchi fungukeni hawa watu ni hatari sana.
mbona unalia kwa kurusharusha miguu kwani rev.mtikilah alikuwa mjomba ako au ccm ndiyo mama yako au dk.POMBE ni jirani yako
Shetani kuingia ikulu ni ndoto tutalizuia hata kwa makombora labda ayafanyie nguvu za Giza yasifanye kazi,
Star TV inatakiwa ijue kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi.As for me,naona ratings za Star TV zimeshuka na zitashuka kuliko hata za TBC...ni hatari kwa media kama Star TV kutumika hivyo kisiasa bila kuzingatia weledi wa utoaji habari..Waangalie Azam TV wanafanyaje kazi!
na inasemekana hiii ni njama ya lowasa ili asishitakiwe!!!! ila cdm ni hatari walimuua chachawangwe na huyu mtikila mmemkolimba
hivi hiii ikulu kuna nini?????????? lowasa ukija kwetu huku nitajitoa mhanga tuone hio jeuri unaitoa wapi pumbavu lowasa
Umemsahau magufuli+Lusinde. Nao wanamdhihaki lowasa kwa kufikiri kupiga pushups ndiyo afya/uzima.a)mtikira+kombani+mkangara=(tayari)
a)nape+mwigulu+makamba+makongoro+msukuma+bulembo=(bado)
ahahaha,
chunga kauri zako
We mngese kaa kimyaaa! Sisi adui huwa tunamuombea njaaa tu.nyie magamba si mlituombea ubaya siku zote...we pia kama gamba potelea mbaliiii
ni kweli kazi hiyo mnaiweza maana mkitila amekuwa mpinzani miaka mungu sana na tena bigwa wa kusema machafu ya serikali na kutoka kuwapeleka mahakama ni,lakini amegusa shetani lenu tayari mumemtoa roho,na nyie mtakufa tu,
mlipompa sumu mwakyembe mungu akawapa kiarusi adi sasa mnaangaika nacho sasa ua wote na nyie mtakufa tu,
Kazi ya shetani linalotaka kwenda ikulu,lakini mungu yupo ukweli utabski kuwa ukweli,na hakuna atakaye ishi milele,
Mkuu kama kuna mchango weka no yako tukuchangie ili kufanikisha,ili shetani tumechoka kumuona maana anachowafanyia wapinzani tangu kwa mwakyembe kumpa sumu,mungu akalipa kiarusi hali kusikia sasa linataka ikulu kwa kuwamaliza wapinzani,
Mkuu kama kuna mchango weka no yako tukuchangie ili kufanikisha,ili shetani tumechoka kumuona maana anachowafanyia wapinzani tangu kwa mwakyembe kumpa sumu,mungu akalipa kiarusi hali kusikia sasa linataka ikulu kwa kuwamaliza wapinzani,
Star TV inatakiwa ijue kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi.As for me,naona ratings za Star TV zimeshuka na zitashuka kuliko hata za TBC...ni hatari kwa media kama Star TV kutumika hivyo kisiasa bila kuzingatia weledi wa utoaji habari..Waangalie Azam TV wanafanyaje kazi!
Kwa hizi stress zako utakufa mwaka huu! Mshirikina mkubwa Wewe, unalalamikia ufisadi ni ufiadi Upi? Richmond mhusika anajulikana wewe unatuletea upimbi wako hapa! Kanywe sumu ufe mwenyewe, LOWASSA yuko safi na Ikulu tunamleleke sisi wenye uchungu na nchi hii.

Unamtisha nani ,mfanye ushetani eti tusiseme ukweli? Njoo mtuue na sisi si anataka kwenda ikulu?