Star TV mjutie na mjifunze

Star TV mjutie na mjifunze

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,146
Reaction score
138,279
Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.

Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho.

Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.

Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowassa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi.
 
Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa...Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho...Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowasa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi

Siasa za chuki ni mbaya sana.
 
Star TV inatakiwa ijue kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi.As for me,naona ratings za Star TV zimeshuka na zitashuka kuliko hata za TBC...ni hatari kwa media kama Star TV kutumika hivyo kisiasa bila kuzingatia weledi wa utoaji habari..Waangalie Azam TV wanafanyaje kazi!
 
Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa...Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho...Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowasa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi
Wewe ni mpumbaavu. Kwani lowasa tangu lini msafi? Mbona huyo anatakiwa auawe kwa kuchomwa moto! Ni mwizi na fisadi asubiri tu kufungwa Dr Magufuli akichukua nchi. Na kwa taarifa yako hata mbwa wangu hataki kusikia lowasa.
 
mpumbavu na wewe pia,habari za mbwa wako znatusaidia nn sasa? Mbwa wako habari za Escrow anapenda kuzckia? Dah umu Jf kuna vichwa ad unajiulza kama akaunt zao za Jf wanashea na watoto wao..
 
Ama kweli tumwache tu MUNGU MWENYE ENZI YOTE aitwe MUNGU maana njia zake na mawazo yake siku zote hayachunguziki!!

Sikufikiri kama mtu mwenye "afya yake kamili" kama Rev. Mtikila anaweza kufa na kuwaacha wagonjwa mahututi wakiishi na kupumua wakifurahia utukufu na uumbaji wa Mungu!!

Kwa kweli kuna kubwa sana la kuendelea kujifunza hapa kwetu sisi kama binadamu tulioumbwa kwa udongo!

Na ni kweli kabisa kuwa "ajidhaniaye amesimama, basi na aangalie asianguke"

R.I.P Rev. Christopher Mtikila wa FULL SALVATION CHURCH, umemaliza kazi yako hapa duniani
 
Uache unyani na ww kwa kuwa rushwa zimewakaa mnahisi kwamba si kifo cha kutengeneza naamini lowassa/chadema/ukawa kwa mtindo wao huu kamwe hawatoiona wala kuonja lkulu never ever
 
Wewe ni mpumbaavu. Kwani lowasa tangu lini msafi? Mbona huyo anatakiwa auawe kwa kuchomwa moto! Ni mwizi na fisadi asubiri tu kufungwa Dr Magufuli akichukua nchi. Na kwa taarifa yako hata mbwa wangu hataki kusikia lowasa.

Hahaha wewe na mbwa wako mnaakili sawa mkuu! Hongera mr mbwaa!
 
Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa...Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho...Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowasa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi

Mpumbavu wewe tena shetani mkubwa kitu linawamaliza wapinzani wake kwa nguvu za freemason wewe anasema nini? Njinga kabisa,
 
Asante mkuuu.
 
Wewe ni mpumbaavu. Kwani lowasa tangu lini msafi? Mbona huyo anatakiwa auawe kwa kuchomwa moto! Ni mwizi na fisadi asubiri tu kufungwa Dr Magufuli akichukua nchi. Na kwa taarifa yako hata mbwa wangu hataki kusikia lowasa.
Dada una hasira na matusi kama kawaida ya ccm. Mnadhani mnahati miliki ya hii nchi ndo mana mna viburi vya
1. Kutaburia watu vifo
2. Kudhalilisha watu
3. Kutukana watu- malofa, wapumbavu kama ulivyofanya wewe
Lakini bado huwa tunawambia haya yana mwisho mnajidai vichwa ngumu hamuelewi. Ila mtaelewa tu.
 
Hahaha wewe na mbwa wako mnaakili sawa mkuu! Hongera mr mbwaa!
Shetani wewe unayeshsbikia shetani linalotaka kwenda ikulu kwa kumaliza wapinzani wake,mungu atalisaidia taifa lake,
 
Wewe ni mpumbaavu. Kwani lowasa tangu lini msafi? Mbona huyo anatakiwa auawe kwa kuchomwa moto! Ni mwizi na fisadi asubiri tu kufungwa Dr Magufuli akichukua nchi. Na kwa taarifa yako hata mbwa wangu hataki kusikia lowasa.
Umepaniki kuambiwa ukweli?Umesahau kama mmepata msiba wa Mtikila na Celina Kombani?Kumbuka wote hawa walikuwa ni miongoni mwa wanaomwombea Lowasa Afe...sasa wewe maadamu unamwombea afungwe jiangalie usije ukafungwa wewe kabla ya Lowasa....Mungu hadhihakiwi. Hapa nilipo Magufuli hakubaliki hata na choo cha kilabu za pombe za kienyeji
 
Mpumbavu wewe tena shetani mkubwa kitu linawamaliza wapinzani wake kwa nguvu za freemason wewe anasema nini? Njinga kabisa,
Mimi nakushauri utafute ushauri au matibabu ya maginjwa ya akili. Nimeona komenti zako nyingi unazingumzia hili jambo huku umepanic na kuliamini kabisa. Ila pole sana next time tu kuweni na heshima na mjie mungu hadhihakiwi
 
Back
Top Bottom