Spika Ndugai: Wabunge watoro warejeshe fedha zote walizolipwa kuanzia Mei 1-17 jumla ya Tsh. Milioni 110

Spika wa bunge akihitimisha bunge jioni hii amesema kuwa wabunge watoro wote warudishe pesa walizolipwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi ambazo ni kuanzia tarehe 1 Mei mpaka 17 Mei, vinginevyo hawatapokelewa bungeni baada ya wiki mbili ambazo wanadai wapo quarantine

Angenyamaza tu. Anaonekana vindictive tu.

Amandla....
 
Chadema bwana, yaani wamechungulia salio wakaona limenona, waksepa eti wanatuzuga wapo quarantine, kmbe ni njia ya kupiga kodi zetu, Spika kawashtukia warudishe.
 
Spika wa bunge akihitimisha bunge jioni hii amesema kuwa wabunge watoro wote warudishe pesa walizolipwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi ambazo ni kuanzia tarehe 1 Mei mpaka 17 Mei, vinginevyo hawatapokelewa bungeni baada ya wiki mbili ambazo wanadai wapo quarantine
Kwa nini anawaita watoro? Hawa wameaga, wametoa tamko hadharani kuwa wamejiweka karantini. Utoro unahusika vipi? Au alitaka wamuombe kibali ili awakatilie?
Kuna wabunge ambao vifo vyao vimeleta sintofahamu. Angekuwa kweli anathamini uwepo wao angeagiza wabunge wote wapimwe ili kama kuna walioathirika wajitenge na wenzao waendelee na shughuli za Bunge. Anapata wapi moral authority kulazimisha watu waende mahali bila kuwahakikishia usalama wao? Hizo barakoa wanazovaa na kuvua kila wakati sio kinga kamili.

Amandla.......
 
Wao wabunge kama walipokea advance huku wakijua wameenda nje basi warudishe maana attendance yao haisomi bungeni
wahuni tu hao walipokea advance ndio wakadai kuingia karantini mbona hawakwenda mapema,hapo mbwai imbwa tu wakienda dar bashite anao,wasipohudhuria vikao baba kasema hamna posho,leo tena spika kadai warudishe na walizopewa wataomba poo tu
 
Am confused; kama wametoroka kwanini wanataka waje na vipimo vya Covid 19?

Kama unataka vipimo vya Covid19 kuonesha wako negative hili warudi bungeni basi lazima ukubali wako karantini na sio kwamba wametoroka.

Na ukikubali wako karantini inabidi ukubali kuwalipa.
 
Spika wa bunge akihitimisha bunge jioni hii amesema kuwa wabunge watoro wote warudishe pesa walizolipwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi ambazo ni kuanzia tarehe 1 Mei mpaka 17 Mei, vinginevyo hawatapokelewa bungeni baada ya wiki mbili ambazo wanadai wapo quarantine
Mbona wanatapatapa sana hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bunge rekebishine namna ya ulipaji posho haiwezekani wabunge hawajali???? Na nyie MP wa CHADEMA acheni upumbavu wenu kumbe mmelipwa in advance ndio mmeondoka kwenda kushibiana majumbani kwenu???
 
Kwa nini anawaita watoro? Hawa wameaga, wametoa tamko hadharani kuwa wamejiweka karantini. Utoro unahusika vipi? Au alitaka wamuombe kibali ili awakatilie?
Kuna wabunge ambao vifo vyao vimeleta sintofahamu. Angekuwa kweli anathamini uwepo wao angeagiza wabunge wote wapimwe ili kama kuna walioathirika wajitenge na wenzao waendelee na shughuli za Bunge. Anapata wapi moral authority kulazimisha watu waende mahali bila kuwahakikishia usalama wao? Hizo barakoa wanazovaa na kuvua kila wakati sio kinga kamili.

Amandla.......
Nafikiri hoja nikwamba wamelipwa pesa kwa kazi ambayo hawafainyi hivyo wairudishe.
Ni jambo rahisi Kama Mtu kalipwa kwa kazi ambayo hajaifanya anarudisha fedha sioni tatizo kwa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Am confused; kama wametoroka kwanini wanataka waje na vipimo vya Covid 19?

Kama unataka vipimo vya Covid19 kuonesha wako negative hili warudi bungeni basi lazima ukubali wako karantini na sio kwamba wametoroka.

Na ukikubali wako karantini inabidi ukubali kuwalipa.
Hauwalipi fedha ya vikao unawalipa mshahara, sasa wanalipwaje fedha ya vikao ambavyo hawahudhurii. Labda Huo uwe utaratibu Mpya uitwe posho ya karantini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatumia sheria/kanuni gani kukataa kuwapokea iwapo watarudi Bungeni?

Na kwanini wanawalipana in advance?

Je,ni wabunge wangapi watakuwa wamelipwa kwa style hii na baadae kutohudhuria Bungeni kwa siku za nyuma?

All in all,turudishe na yale mamilioni yaliyotumika kwa matibabu huko India.
Wanajiexpose wenyewe.... Kumbe wamekuwa wakilipana posho in advance...!!

Mtetezi wa wanyonge pamoja na kukaa Bungeni kwa miaka 20 hakuliona hilo.....!! Kweli Tanzania ni shamba la Bibi.
 
Back
Top Bottom