Spika Ndugai: Wabunge watoro warejeshe fedha zote walizolipwa kuanzia Mei 1-17 jumla ya Tsh. Milioni 110

Anatumia sheria/kanuni gani kukataa kuwapokea iwapo watarudi Bungeni?

Na kwanini wanawalipana in advance?

Je,ni wabunge wangapi watakuwa wamelipwa kwa style hii na baadae kutohudhuria Bungeni kwa siku za nyuma?

All in all,turudishe na yale mamilioni yaliyotumika kwa matibabu huko India.
Hapo penye advance.... !!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko sahihi. Hawapaswi kulipwa posho Wakati hawako kazini otherwise utakuwa Ni wizi wa Mali ya umma. Nashauri Pesa watakayorudisha itumike kununulia PPE.
 
Spika wa bunge akihitimisha bunge jioni hii amesema kuwa wabunge watoro wote warudishe pesa walizolipwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi ambazo ni kuanzia tarehe 1 Mei mpaka 17 Mei, vinginevyo hawatapokelewa bungeni baada ya wiki mbili ambazo wanadai wapo quarantine
Ndio maana yake
 
Ndungai ndiye mpumbavu unawalipaje pesa watu hawajafanya kazi pumbavu kabisa halafu kuna mbunge wa ccm mwingine tupo naye jimboni uku sijui na yeye yupo kwenye hesabu
Hao wa CCM hata kama hawapo sio shida. Tatizo ni hawa wapinzani
 
Spika wa bunge akihitimisha bunge jioni hii amesema kuwa wabunge watoro wote warudishe pesa walizolipwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi ambazo ni kuanzia tarehe 1 Mei mpaka 17 Mei, vinginevyo hawatapokelewa bungeni baada ya wiki mbili ambazo wanadai wapo quarantine
Kuna Rais anazagaa zagaa Geita. Nasubiri tangazo la Mkuu wa mkoa wa Geita kutoa masaa 24 kwa wazurulaji huko Geita warudi ofisini.
 
Huu ni ufisadi mwingine kwanini watu wanalipwa in advance halafu chadema wanachukua pesa bila kufanyia kazi ndugai na chadema wote ni mafisadi
 
Fupi ndugai huu nfio mwaka wake wa kuanza kulipia movu yake yote...
Mwaka wa uchaguzi
 
Spika wa bunge akihitimisha bunge jioni hii amesema kuwa wabunge watoro wote warudishe pesa walizolipwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi ambazo ni kuanzia tarehe 1 Mei mpaka 17 Mei, vinginevyo hawatapokelewa bungeni baada ya wiki mbili ambazo wanadai wapo quarantine
Anatekeleza maagizo ya mgonjwa mwenziwe aliyeko Chato
 
Back
Top Bottom