Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge anayetafuta mbadala baada ya kupeleka mawazo hovyo bungeni? Alikwendaje Bungeni kabla ya kutuuliza huo mbadala?