Spika Ndugai ni Mbunge au rais wa nchi fulani?

AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
1,940
2,000
Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge anayetafuta mbadala baada ya kupeleka mawazo hovyo bungeni? Alikwendaje Bungeni kabla ya kutuuliza huo mbadala?
Spika mzigo.
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,387
2,000
Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge anayetafuta mbadala baada ya kupeleka mawazo hovyo bungeni? Alikwendaje Bungeni kabla ya kutuuliza huo mbadala?
Anashangaza sana RAIS KATANGAZA CHANJO ni HIARI KWA WOTE Spika nae Anatangaza Chanjo ni lazima

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ushindi victory

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
396
1,000
Siku zote mi husema hilo lindugai sjui nan ilo hata ku
ra alikupata za halali, zaidi ya ushirikina eeeh ushirikina, maana hakuna raia mwenye akili timamu wa kuchagua ilo lipumbavu...ona sasa
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,311
2,000
Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge anayetafuta mbadala baada ya kupeleka mawazo hovyo bungeni? Alikwendaje Bungeni kabla ya kutuuliza huo mbadala?
Huyo ni mgonjwa wa marukanga,anabugia minjingu mbolea kujenga afya yake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom