Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

..mara ya kwanza Lissu alikuwa mbunge lakini halmashauri ilibaki na ccm.

..safari ya pili alishinda ubunge na halmashauri, lakini akachezea marisasi miaka miwili baada ya kuchaguliwa.

..pia huyu mbunge wa sasa wa ndiye alikuwa mkuu wa wilaya lilipo jimbo la Lissu. kwa hiyo sidhani kama unaweza kumhoji mbunge bila kumhoji mkuu wa wilaya.

..mbunge ni mtunga sheria, hivyo anaweza kuhojiwa kuhusu michango na hoja zake bungeni. je michango ya mbunge imekuwa na faida gani ktk kutunga sheria zinazogusa maisha ya wananchi?

..jambo lingine ni kuhusu FEDHA ZA MFUKO WA MAENDELEO YA JIMBO hilo ni suala ambalo mbunge anaweza kuulizwa jinsi alivyo-influence matumizi ya fedha hizo.

..mambo mengine kuhusu miradi ya maendeleo hayo huwa ni masuala ya mipango ya SERIKALI KUU. Wabunge wana nafasi ndogo sana ktk ku-influence mipango ya serikali. Mara nyingi miradi hutekelezwa mahali fulani na mbunge huchukua credit kama bahati tu iliyomuangukia kwamba mradi fulani umetekelezwa wakati wa kipindi chake cha ubunge.
Ufafanuzi mzuri huu.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kaangalie Kongwa alafu kulinganisha
Labda mheshimiwa sana Spika Ndugai angetusaidia jambo moja tuu, kwa nini hao anaowasema yeye kuwa hawajafanya jambo lolote kwa wananchi mbona tuliona wakifika kwa wapiga kura wao yaani wananchi wa majimbo husika wanapokelewa kwa heshima kubwa sana tofauti na yeye ambaye watu walimpokea kwa mabango na kumkataa mbele ya hayati Rais Magufuli?
Kipimo cha mwanasiasa ni jinsi anavyokubalika na wananchi na sio anavyokubalika na Spika.
Jee haoni kuwa tunaweza kuamini kuwa serikali ilikuw haipeleki hayo maji kwa hao walipa kodi kwa sababu Lissu hakupendwa na Spika na serikali?
Logic simple kabisa!
 
Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!

Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!

My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.

Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Kazi ta kuleta maji jimboni ni ya Mbunge?
 
..mara ya kwanza Lissu alikuwa mbunge lakini halmashauri ilibaki na ccm.

..safari ya pili alishinda ubunge na halmashauri, lakini akachezea marisasi miaka miwili baada ya kuchaguliwa.

..pia huyu mbunge wa sasa wa ndiye alikuwa mkuu wa wilaya lilipo jimbo la Lissu. kwa hiyo sidhani kama unaweza kumhoji mbunge bila kumhoji mkuu wa wilaya.

..mbunge ni mtunga sheria, hivyo anaweza kuhojiwa kuhusu michango na hoja zake bungeni. je michango ya mbunge imekuwa na faida gani ktk kutunga sheria zinazogusa maisha ya wananchi?

..jambo lingine ni kuhusu FEDHA ZA MFUKO WA MAENDELEO YA JIMBO hilo ni suala ambalo mbunge anaweza kuulizwa jinsi alivyo-influence matumizi ya fedha hizo.

..mambo mengine kuhusu miradi ya maendeleo hayo huwa ni masuala ya mipango ya SERIKALI KUU. Wabunge wana nafasi ndogo sana ktk ku-influence mipango ya serikali. Mara nyingi miradi hutekelezwa mahali fulani na mbunge huchukua credit kama bahati tu iliyomuangukia kwamba mradi fulani umetekelezwa wakati wa kipindi chake cha ubunge.
..Unajua Miraji Mtatiro alikuwa mkuu wa wilaya wakati Lissu ni mbunge?

..Kwa hiyo kama wilaya imekosa maji basi Mtatiro anastahili lawama kubwa zaidi kwasababu yeye ndio alikuwa mtendaji wa serikali na muwakilishi wa rais magufuli wilayani.
Ufafanuzi mzuri sana umefanya JokaKuu. Asiyekuelewa ni kuwa hataki tuu kama vile ambavyo punda anaweza kulazimishwa kubeba mzigo lakini akakataa kulazimishwa kunywa maji.
Ila jina la huyo mbunge wa sasa na ambaye wakati wa Lissu alikuwa DC ni Miraji Mtaturu sio Mtatiro (huyo ni DC wa Tunduru hadi sasa)
 
Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!

Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!

My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.

Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
NYANI HAONI KUNDULE
 
Karibu Kongwa
images (45).jpeg
images (43).jpeg
images (41).jpeg
images (42).jpeg
 
Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!

Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!

My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.

Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Huyu ni mwehu sana hatujawahi kupata hasara kama hii kwenye uongozi wa muhimili muhimu kama bunge.

Yeye kule Jimboni kwake hata barabara hakuna, nilipita kwenda mpwapwa wallah Ile njia sio mchezo.

Naona yeye anaacha legacy ya Ile hospital maarufu kule Dodoma ambayo alisema ana vyeti vya pale kwamba alikuwa certified client🤷
 
Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!

Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!

My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.

Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Huyo Ndungai jimboni kwake wapiga kura wake wanakunya porini hata kuchimba vyoo wanangoja Serikali ije iwachimbie, pumbavu kabisa huyu mbilikimo
 
Back
Top Bottom