Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Haya yanaingia vipi hapa?Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu!
Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Sidhani kama ni dikteta, mpaka kaongea hivyo inawezekana wenye CCM yao wameshaamua hii fedhea na aibu kukomaa nayo mpaka 2025, yeye kama yeye hawezi kutema shombo lote hilo bila baraka za mihimili mingine. Otherwise wawe wanamtega.Tangia Uhuru Tanzania haijawahi kupata spika wa hovyo kama dikiteta ndugai, nimeshangazwa na huruma na busara aliyoonyesha kwa hawa covid19, Vp alishindwaje kuitumia kwa kina mama 8 wa cuf? Au wale si wanawake au kipindi hicho mfumo dume haukuwepo?
Spika ni dhahihiri hauko hufuata sheria.Unalazimisha,hata waliotimuliwa Chadema wanajua wamefukuzwa kihali.Unawatetea sana.Haya mambo yatakuwa na mwisho mbaya kwa kitiu chako.Sidhani kama rais wa nchi hilo jambo lina afya kwke.Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi una mshipa wa aibu kweli?
Kama natural justice haukuzingatiwa mbona walikata rufaa? Kama kulikuwa hakuna kikao halali mbona walikata rufaa?
Mwaka 2017 mwezi julai ulipokea barua toka kwa Lipumba juu ya wabunge wa CuF waliofukuzwa. Na wewe bila mashariti yoyote unayotoa sasa hivi uliridhia kuwafukuza. Iweje kwa hawa akina mama 19 ndio uwe na masharti?
Tumia akili na utambue kuwa katiba ni sheria mama.
View attachment 1772141
Dah! Huyu Ndugai ataenda katika historia ya nchi hii kama Spika wa ovyo kabisa tangu historia ya nchi hii ianze!Kiukweli kabisa, hili la hawa wabunge litaleta shida sana, ni labda tuachane nao au tushinikize maamuzi magumu. Kwasababu hawa wapinzani bungeni wanahitajika ili kutumiza masharti fulani fulani ndio maana wanawang'ang'ania.
Kwahiyo ni either waachwe au bunge livunjwe tufanye uchaguzi upya kupata balance ya upinzani bungeni. Walioiba uchaguzi hawakuwa smart enough kulifikiria hili matokeo yake ni huu mvutano.
Umesema kweli binti kiziwi. Walipokuwa wanaiba kura walijisahau kuwabakizia wapinzania japo viti 19 hivi. Uroho wao sasa unawatokea puani!Dah! Huyu Ndugai ataenda katika historia ya nchi hii kama Spika wa ovyo kabisa tangu historia ya nchi hii ianze!
Naona unalazimisha mabwana kinguvu, maana kila uzi unaanguka mbele ya wanaume kifudifudi, hamna shida, utapata mti muda si mrefu.Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu!
Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura?
Wewe ni darasa la Sana. Lisu katika wapi hapa.Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu!
Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura?
Nami nimemshangaa. Ni darasa la Saba huyuHaya yanaingia vipi hapa?
Dogo naomba ujiheshimu.Akili za huyo spika ni kielelezo cha viongozi wa CCM na wanachama wake.