Sperms ambazo kama zina damudamu ni nini?

Sperms ambazo kama zina damudamu ni nini?

NYETO OYEEEEE

wote: OYEEEEEE
Duuuuhhhhhhhhh
Acha nyeto umepiga sana
Ndio ila sikupiga kwa siku kazaaa
Una umri gan Mkuu?.

Unajishugulisha na kazi gan?
Mkuu nina 19 mwaka huu sina kazi naenda tu chuo
Ninapanda usafiri ambao unatikisika sana hasa kwenye barabara yenye mashimo na kokoto

Pia sikujuchua kwa siku 16 na ndipo nilipoota wet dream kushtuka nilimwaga mbegu nyingi kuliko kawaida maana nilijua nimejikojolea boksa nusu nzima imelowa chapchapa

Usiku nilidownload browser ya opera ambayo inakuja na built-in vpn ambayo haiwi setting kwenye simu hivyo wewe utafungua tovuti yeyote bila uhitaji wa vpn

Nilizama xvideos na kuangalia video za blowjob ambazo hunivutia kisha nilishindwa vumilia nikarusha chenji nikalala

Ahsubuh kabla sijaondoka nilipata hilo wazo tena nikazama opera nikachek na nikalirusha tena bao

Sasa kipindi limetoka hv kwa kuruka mimi najua shahawa ikikaa mda mrefu ni ya njano lakini niliona rangi kama nyekundu sijui brown

Ikabidi nichunguze vzr kwenye lile bao nikaona kama chembechembe au muunganiko kidogo wa hiyo damu sijui ni rangi ila selewiii

Ikabidi nikamue uume wangu kuonanzitakazo toka ila zilikuwa tu na rangi ya kawaida nikaangalia na zingine zilikuwa normal tu ila ile chembechembe niliona kwa mbali sana

Yani usipokuwa makini huwez chunguza sababu rangi nyeupe ndio iliyotawala sana

Mimi nipo sensitive sana na haya mambo nashindwa hata kuushika uume wangu yani naogopa mpaka nyeto yani acha

Alafu hii pumbu yangu ya kulia naisikia kama inavuta si kuvuta selewi ila kama naifeel flan hv alafu kwa juu karibu na maungio ya uume na pumbu kuna kama tusponji kwa ndani ila nilikuja kuona normal baada ya kujua kuwa na upande wa pili pia ipo

Ila hii ya kulia ndio kama inavuta sio kuvuta tumaumiv sio maumiv nadhani unanielewa yan selewi hata nisemaje

Sorry kwa gazetiiii ila najua wewe ni docta utanieleza inasababishwa na nini au ni mpasuko ya capillaries tu hvyooo nitulia

Pia hua naulalia uume wangu kwa kuunyoosha kwenye kitovu na kuubana na suruali hasa usiku mpk ahsubuh nikiongea na mchumba

Au nayo inaweza kuwa sababu maana pumbu hubaki chini???
Natamani ungeeleza mchakato mzima uliopitia mpaka ukagundua kuwa una Manii zenye damu..

Au ulipiga punyeto Mnama?
Soma hapo juu ☝️☝️☝️ nimeandika
 
Kichocho Hicho Grade 1
Usinitishe mkuu kunasiku nilipita kwenye maji cku ya mvua

Ila shuleni enzi nipo primary tulipewaga dawa za kichocho
Dalili ya hedhi 😀
Be serious mkuu
Kuna rafiki yangu o level alikuwa nananiambia anapig mashine mpka visperm zinakuwa na vdamudamu yani mpk nasisimka kwa uoga leo nimeyakuta na nilivyoona comment ya dronedrake kuhusu damu damu ndo nimeogopa

Binafsi naogopa hata kufanya mapenzj saaana yani naogopa damu
 
Tutakimbilia wapi sasa, yaani mpaka sabuni zinaambukiza magonjwa .

Enewei mkuu wahi hospitali na usimfiche daktari, kwako sio mficha uzi hazai ila mficha uchi hatahisi utamu tena.
 
Sijawah mkuu ningewah ningekuwa nipo hospital muda mrefu naogopa sana magonjwa ya ku attack kidudu mkuu, huwa nawah hospital haraka sana
Ngoja niangalie kama week hv japo cjichui tenaaaaa kwenye maisha yangu labda
Pia kama ni magonjwa ya kuambukiza uongo sababu cjawah kukutan n mtu zaidi ya mate ndio nimapanga j2 nikazimue dah
😅 😅 lilikua bao la kwanza, fungulia mbwa, kitambo sana
😂😂😂 Bao langu la kwanza nilirusha bafuni kama roket ila lilikua jeupee peee
 
Back
Top Bottom