Sperms ambazo kama zina damudamu ni nini?

Sperms ambazo kama zina damudamu ni nini?

Duuuuhhhhhhhhh

Ndio ila sikupiga kwa siku kazaaa

Mkuu nina 19 mwaka huu sina kazi naenda tu chuo
Ninapanda usafiri ambao unatikisika sana hasa kwenye barabara yenye mashimo na kokoto

Pia sikujuchua kwa siku 16 na ndipo nilipoota wet dream kushtuka nilimwaga mbegu nyingi kuliko kawaida maana nilijua nimejikojolea boksa nusu nzima imelowa chapchapa

Usiku nilidownload browser ya opera ambayo inakuja na built-in vpn ambayo haiwi setting kwenye simu hivyo wewe utafungua tovuti yeyote bila uhitaji wa vpn

Nilizama xvideos na kuangalia video za blowjob ambazo hunivutia kisha nilishindwa vumilia nikarusha chenji nikalala

Ahsubuh kabla sijaondoka nilipata hilo wazo tena nikazama opera nikachek na nikalirusha tena bao

Sasa kipindi limetoka hv kwa kuruka mimi najua shahawa ikikaa mda mrefu ni ya njano lakini niliona rangi kama nyekundu sijui brown

Ikabidi nichunguze vzr kwenye lile bao nikaona kama chembechembe au muunganiko kidogo wa hiyo damu sijui ni rangi ila selewiii

Ikabidi nikamue uume wangu kuonanzitakazo toka ila zilikuwa tu na rangi ya kawaida nikaangalia na zingine zilikuwa normal tu ila ile chembechembe niliona kwa mbali sana

Yani usipokuwa makini huwez chunguza sababu rangi nyeupe ndio iliyotawala sana

Mimi nipo sensitive sana na haya mambo nashindwa hata kuushika uume wangu yani naogopa mpaka nyeto yani acha

Alafu hii pumbu yangu ya kulia naisikia kama inavuta si kuvuta selewi ila kama naifeel flan hv alafu kwa juu karibu na maungio ya uume na pumbu kuna kama tusponji kwa ndani ila nilikuja kuona normal baada ya kujua kuwa na upande wa pili pia ipo

Ila hii ya kulia ndio kama inavuta sio kuvuta tumaumiv sio maumiv nadhani unanielewa yan selewi hata nisemaje

Sorry kwa gazetiiii ila najua wewe ni docta utanieleza inasababishwa na nini au ni mpasuko ya capillaries tu hvyooo nitulia

Pia hua naulalia uume wangu kwa kuunyoosha kwenye kitovu na kuubana na suruali hasa usiku mpk ahsubuh nikiongea na mchumba

Au nayo inaweza kuwa sababu maana pumbu hubaki chini???

Soma hapo juu [emoji3516][emoji3516][emoji3516] nimeandika
Pole sana.

Wataalam wanasema ukikaa muda mrefu bila ku sex inaweza kusababisha chembe chembe za damu kwenye manii pindi unapofungulia.. Ila with time hali hurejea kuwa kawaida.

Maambukizi kwenye njia ya Mkojo (Urinary Tract infections), ni sababu nyingine inayoweza kusababisha hii hali.
 
Back
Top Bottom