sawa. napiga vigeregere makusudi ili wapinzani wachukue hatua na kama wasipochukua watakinywea.
kwa mujibu wa akili yangu mbovu.
ukweli utaaki kuwa ukweli bila kujali unatolewa kwa mzaha, utani, ucheshi vigeregere na nderemo
Katika Biblia takatifu, Joka linawakilisha kiongozi/ utawala wenye mamlaka ya kishetani, utawala wa kimabavu wa kuwaonea watu wa Mungu kwakuwa hauna baraka za Mungu.Hii picha inahitaji mtu mwenye kuishughulisha akili yake bila kukurupuka,asante sana KipanyaView attachment 890751
Nakubalianan na wewe CCM ni chama kikubwa sana na kinaweza kufanya mambo mazuri kikiamua.KP yupo makini sana, chama kina nguvu kubwa sana wangeweza itumia ,tatizo wanafiki na wachumia tumbo. CCM inahistoria kubwa kwa nchi yetu mbali ya mapungufu yaliyopo.Amkeni Tumieni nguvu ya chama mwekeeni break kwa mambo ya msingi mfano umoja wa taifa letu.
Katika Biblia takatifu, Joka linawakilisha kiongozi/ utawala wenye mamlaka ya kishetani, utawala wa kimabavu wa kuwaonea watu wa Mungu kwakuwa hauna baraka za Mungu.
Halifwi!Ccm imegeuka joka LA mdimu...likimaliza kuwakula wote linajikula lenyewe halafu linakufwa[emoji36]
Mkuu unakabidhiana vipi na kasi ya kuchepuka ya Evelyn Salt?I have decided to stick with love,hate is too great a burden to bear!
Mkuu unakabidhiana vipi na kasi ya kuchepuka ya Evelyn Salt?
Anatufatilia sana huyo kibushuti.
Mi nakupenda wewe Evelyn SaltAnatufatilia sana huyo kibushuti.
Mi nakupenda wewe Mentor
DNimecheka saaaana View attachment 890429
Wewe ndio ushafeliNchi ilikuwa imejaa mafisadi na matapeli sasa amemaliza kusafisha inakuwa kwa sera zake