Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

CCM inang'ata balaa! Upinzani umeng'atwa wote.

Ruksa kila mtu kuelewa kivyake
 
..Duh!!

..naona anamjibu Mh.Lusinde.

..Mh.Lusinde hupenda kuomba kura kwa kusema mahindi, migomba, na vitu vingine vizuri ni rangi ya kijani kama bendera ya CCM.

..sasa naona Masudi Kipanya kaja na katuni ya nyoka wa kijani!!

Cc tindo
 
Kipanya angekua Rwanda sasa hivi angekua mahakamani, maana huko Rwanda hauruhusiwi hata kuchora katuni aisee
 
Ukiangalia macho ya hilo joka,utazamaji wake na namna lilivyotoa ndimi zake na meno ni kama lipo kujihami kurarua kisichompendeza pindi kikijitokeza,rangi za joka zinaweza kuhusishwa na mazingira na hali ya nchi then ukapata connection.
Ila usisahau cyber crime bado ipo...
 
Back
Top Bottom