Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Lazima Kipanya atakuwa kwenye list ya wasiojulikana!...believe me!View attachment 890420
Duh
IMG-20180915-WA0007.jpg
 
hii picha ina maana nyingi sana ila kikubwa nahisi anataka kusema nigeria/yanga wamekuwa wakali ki soka kama koboko/swila/kifutu

NB: jamaa ni walaghani/wachonganishi na chanzo cha matatizo yote taangu walipo umbwa upya 1977
 
Ndio maana Kagame kapiga marufuku vikaragisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Siingii katika mtego wa "kutafasiri" alichomaanisha Kipanya![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom