Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,630
- 2,738
Huyo ndiyo mchawi wa nchii ..
Means fisiem is a beast
mkuu unatafsiri picha au comments zetu. nikisema ulikimbia umande wa chekechea ntakuwa nimekuonea mkuu kamanda wangu
Yaàni shetani wa kijani ,
Kama siyo yanga , basi ni ccm
Unamaanisha kama huyu mkuu? View attachment 891002
Basi ni ccm , anafananishwa na nyoka mkali ambaye pia ni kama shetaniHapa hakuna habari za michezo maana ni jukwaa la siasa
Basi ni ccm , anafananishwa na nyoka mkali ambaye pia ni kama shetani
Mkuu asante, hii ndio tafsiri yangu pia, na si hivo tu ni kwamba linakuwa na litawala waliolifuga pia!Ccm imegeuka joka LA mdimu...likimaliza kuwakula wote linajikula lenyewe halafu linakufwa![]()
Hii picha inahitaji mtu mwenye kuishughulisha akili yake bila kukurupuka,asante sana KipanyaView attachment 890751
Kibonzo hicho kwa Rwanda ni miaka 7,bado kidogo tutacopy hizo sheria kutoka kwa role model wetu "kagame"!
Tutaipaste sheria hiyo toka kwa role model wetu kagame
Ni kawaida ya mifumo ya kijamaa utukuzwa fikra za MTU sio watu,kaa mbali utaliwa.Ukiangalia macho ya hilo joka,utazamaji wake na namna lilivyotoa ndimi zake na meno ni kama lipo kujihami kurarua kisichompendeza pindi kikijitokeza,rangi za joka zinaweza kuhusishwa na mazingira na hali ya nchi then ukapata connection.
Ila usisahau cyber crime bado ipo...
Tena kwa hati ya dharuraImepita Bila kupingwa,
Hii picha inahitaji mtu mwenye kuishughulisha akili yake bila kukurupuka,asante sana KipanyaView attachment 890751
Na kawaida ya nyoka likiwa na njaa halichagui wa kumeza...maana yake likimaliza miti litaingia kwenye miili yao!Tatizo huyo mng'ataji ni shetani.
Nyoka wakijani wanaokuwa wapole huwa wadogo mkuu sio machatu!Aina hii ya nyoka wanatajwa kuwa wapole sana, na ngozi yake huchunika mwisho kiunoni
Aina hii ya nyoka wanatajwa kuwa wapole sana, na ngozi yake huchunika mwisho kiunoni