Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,992
- 5,810
Ufisadi umekatwa kwenye shina kuu, lkn umechipukia pembeni
Vv
Vv
Mawaz kama yang ayaPale unapojitahidi kuwafyekelea mbali wapinzani wako ukadhani umemaliza kumbe unaibuka upinzani mpya kwa style tofauti
Mule mule mkuuWewe ndio ushafeli
Labda alikuwa anataka mbao tu.Hahahaha aya Kiongozi,ni kweli ilibidi aung'oe sio kuukata so cheki unaota tena na yeye kisha geukia upande mwingine.
Uwezo wake, Bw. Shoka umeishia hapo kukata mashina tu, kung'oa mzizi hawezi, Shoka alilobeba hajui kulitumia....ni bure MkuuNaona wengi wamepatia! Matatizi yang'olewe sio kukata mti tu.
Mbn kama karata na sio hela
Ni kuwa jeshi la polisi linaongozwa na wenye pesa
Point police wanacheza karata, pata potea, mara wazungu wawili, huyo ni ni Mamboleo.Mbn kama karata na sio hela
Karata angechora hata J mavi ya Mbuzi au K kopa...hapo ngumu kung'amua kama ni pesa ama la.Mbn kama karata na sio hela
Itakuwa ni Watu weupe.Hakuna wazungu wala waarabu