Nedago
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 1,137
- 1,798
Hahahaha aya Kiongozi,ni kweli ilibidi aung'oe sio kuukata so cheki unaota tena na yeye kisha geukia upande mwingine.Ilo njemba limekata mti badala ya kuung'oa kabla hajafika home kuweka shoka mti unachipua
Mengine jiongeze