Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Nadhani anamaanisha ukitoka jera wanakuwa wamekata mabawa huna ujanja wa kupaa tena...
 
Hata alieko ndani pia muda ukifika kisu kitamhusu!! Mimi nilifikiri huyo wa nje anamshangaa wa ndani Kung'ang'ania kubaki ndani wakati kisu kimeshanolewa!
Kisu kitamuhusu kama akitoka nje, coz kisu kipo nje.
 
yani hao vifaranga wamenyonyelewa wakiwa hai kisha wanatiwa gerezani wakati kisu kina wasubira..... MATESO KWELI KWELI!!!
 
Angekuwa genious angekuwa anachora vitu vinae eleweka
Kwasababu anachora vitu visivyoeleweka ndio maana anakuwa "Genius",anachora vitandawili mwenye akili anatakiwa ategue aliekuwa mbumbu atabaki kukodowa macho,kodo....,kama wewe vile

Huyu jamaa yuko Genius....wenye akili wataufahamu huu mchoro
 
Huyu jamaa anafikra za hali ya juu.

28aa985d823d6bd0725097cb34861dbc.jpg
he has brains
 
Nadhani anamaanisha ukitoka jera wanakuwa wamekata mabawa huna ujanja wa kupaa tena...
anamaanisha wapinzani kwa sasa Jela ndo sehemu salama kwao wakitoka huko ni vitu vyenye ncha kali ....
nimemuona yule jamaa wa Morogoro hata nyama buchani haicharangwi vile!!!
nikawaza hawa Watanzania wenye roho mbaya namna ile ni Watanzania wa upande gani wa nchi hii ? wanalipwa kitu gani na nani anawalipa kufanya ukatili wa aina ila je wataishia kwa hao tu wanaotumwa kuwauwa ama watakodishwa wafanye na uhalifu mwingine ?hii ni hatari sana nashangaa sana huyu spring msiba anasema Watu wa kawaida sana kuwa ni hatari halafu hawa wa hatari hawataji................
 
Mwenzio akinyolewa zako tia maji.
Huyo ndege wa ndani kashanyonyolewa hana ujanja wowote, na huyo wa nje kabaki na hofu kubwa kuwa naye muda wowote siku yoyote nae yanaweza mkuta kama aliyeko ndani. Hapo kuna vitu viwili vyamsubiri kifo ama mahabusu ama vyote kwa pamoja.
Na kwa mbaali kuna rangi ya koloni inaonekana.
 
Back
Top Bottom