Ninavyoona mimi yule ndege wa ndani kafunguliwa mlango, lkn inaonesha ndege wa nje ni mla ndege! So akitoka nje ataliwa. Hana uhuru kabisa!Mlango umefunguliwa, huyo Ndege aliyepo nje itabidi achague, aingie ndani au kama hataki, kisu kinamuhusu.
Angekuwa genious angekuwa anachora vitu vinae eleweka
Akili yako ndogo sana hata fumbo hilo linakutoa jasho hatar sana.Hata mleta katuni anaweza kuwa hajaelewa vile vile ila ameileta tu hapa huku anachekelea tumwone kailewa. Wabongo nao watu basi !
Elimu yetu ina hatar vijana ni ngumu kuumiza kichwa na elimu bule kwisha kabisa fumbo dogo watu wanatoa jasho tutaweza kweli kufanya makubwa ikiwa katun zinatuvuja jasho?Umenena lililo kweli[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Fumbo la picha.Nimetoka na maluelue.Naona kama hesabu za Algebra
Harafu wameshamnyonyoa vya kutosha na imebaki finishing tuuMlango umefunguliwa, huyo Ndege aliyepo nje itabidi achague, aingie ndani au kama hataki, kisu kinamuhusu.
Nimekupenda kinomaHata mleta katuni anaweza kuwa hajaelewa vile vile ila ameileta tu hapa huku anachekelea tumwone kailewa. Wabongo nao watu basi !
Wewe unaweza ukawa unapointSUGU tayari bado MBOWE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mleta katuni anaweza kuwa hajaelewa vile vile ila ameileta tu hapa huku anachekelea tumwone kailewa. Wabongo nao watu basi !
hahahahhahahahMshikemshike ndege tunduni sisi wajanja tumekimbia!.