Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,242
- 98,236
Mle ndio hamna kitu yaani ni kubwa jingaMtu kama le mutuz hawezi kuelewa
Mle ndio hamna kitu yaani ni kubwa jingaMtu kama le mutuz hawezi kuelewa
Mkuu ni kuhamia kanda pendwa ya ziwa,kuanzia leo naitwa Bayyo Masanja Mwanang'ila MwadelaKweli tunaisoma nambari
Hilo nalo neenooo,mimi naitwa KashyindeMkuu ni kuhamia kanda pendwa ya ziwa,kuanzia leo naitwa Bayyo Masanja Mwanang'ila Mwadela
Kule tunajenga barabarani,ruksa kuharibu vyanzo vya majiHilo nalo neenooo,mimi naitwa Kashyinde
Kwetu maji yapo bwerereKule tunajenga barabarani,ruksa kuharibu vyanzo vya maji
Mimi nina mahela vp niku PM?Hilo ndio la maana mkuu kuliko yote endelea kutafta mahela
we ndio huelewi
Hata mleta katuni anaweza kuwa hajaelewa vile vile ila ameileta tu hapa huku anachekelea tumwone kailewa. Wabongo nao watu basi !Nimetoka na maluelue.Naona kama hesabu za Algebra
Yale yalikuwa matangazo ya wadhaminiUko nje ya Mada mkuu.
Umenena lililo kweli[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hata mleta katuni anaweza kuwa hajaelewa vile vile ila ameileta tu hapa huku anachekelea tumwone kailewa. Wabongo nao watu basi !
Mshikemshike ndege tunduni sisi wajanja tumekimbia!.
Hata alieko ndani pia muda ukifika kisu kitamhusu!! Mimi nilifikiri huyo wa nje anamshangaa wa ndani Kung'ang'ania kubaki ndani wakati kisu kimeshanolewa!Mlango umefunguliwa, huyo Ndege aliyepo nje itabidi achague, aingie ndani au kama hataki, kisu kinamuhusu.