Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Swali zuri,maana ardhi yetu mnachukua,fidia kiduchu,miradi ya miundombinu mnajenga,pesa ya mkopo,bodi ya mikopo hoi,ili kupata hela,mpaka muwakabe waliokopa zamani ambao kwa sasa hv,wengi wao vyuma vimekaza kabiza,
FAO letu la kujitoa,mmezuia,
Sasa unacho sevu,kinaenda wapi?
 
Kuna wajanja walitaka kutuupiga hapa, nikaasema ngoja nifatilie mwenyewe mchakato wa tenda hii ili tuokoe hela za watanzania maskini, kwa hyo ndugu zangu, ktk huu mradi tumeokoa bilion 80 na ushehe... Wa kununa wanune, nami ndiyo nimeshaamua kwa niaba ya walionipgia kura...

Pwa pwa pwa!

JPM wanyooshe baba, mpk watembelee ukucha.

Kuna jamaa yangu mmoja yuko kwenye chama nilikuwa nachati kwa telegram.. Anasema, msukuma kabana ulaji hadi wa kwenye chama.. Yani malipo yote ya mirad ya chama inalipwa kwenye akaunti ya chama.. Frem za biashara za chama, wapangaj wanalipa direct kwenye akaunt ya chama... Hazipitii kwenye mkono wa wajanja.. Kiufupi mkulu kawabana kotekote... Pamoja na mapungufu yake mengne, ila kwenye ktengo cha kubana mwanya kawabana had koo
 
Kwahiyooooo
 
"Ego is a disease that makes everyone sick except the person with the disease
 
Kuna wajanja walitaka kutuupiga hapa, nikaasema ngoja nifatilie mwenyewe mchakato wa tenda hii ili tuokoe hela za watanzania maskini, kwa hyo ndugu zangu, ktk huu mradi tumeokoa bilion 80 na ushehe... Wa kununa wanune, nami ndiyo nimeshaamua kwa niaba ya walionipgia kura...

Pwa pwa pwa!

JPM wanyooshe baba, mpk watembelee ukucha.

Kuna jamaa yangu mmoja yuko kwenye chama nilikuwa nachati kwa telegram.. Anasema, msukuma kabana ulaji hadi wa kwenye chama.. Yani malipo yote ya mirad ya chama inalipwa kwenye akaunti ya chama.. Frem za biashara za chama, wapangaj wanalipa direct kwenye akaunt ya chama... Hazipitii kwenye mkono wa wajanja.. Kiufupi mkulu kawabana kotekote... Pamoja na mapungufu yake mengne, ila kwenye ktengo cha kubana mwanya kawabana had koo
Hizo zinazobanwa zinaenda wapi? Zinatumikaje?
 
Huyu Bwana watamuundia zengwe hivi karibuni
Tairi ua mbele ya gari yake itabust akiwa kwenye mwendo kasi na uchunguzi utaendelea
 
Shukrani za pekee ziendelee kumfikia mchora katun maarufu kama Kipanya kwa kuendelea na fimbo zake
ddc6d39b9b91cf0642bd51e04ba2b379.jpg
Mtu kama le mutuz hawezi kuelewa
 
Back
Top Bottom