Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Kwa mara nyingine tena msanii mashuhuri wa katuni ametukumbusha utajiri wetu wa gesi tuliyo ambiwa itaugeuza mkoa wa mtwara kuwa Dubai ya Tanzania lkn leo hii ni misonyo mitupu
 
Nakumbuka kuna kiongozi fulani wakat mradi wa gesi bado mbichi alisema mpaka kugikia 2014 Tanzania itakuwa sio masikini tena kutokana na faida zitakazopatikana kupitia mradi huo
 
Hata mtwara aliwadanganya hivyo hivyo lkn sasa wamebakia kutafuna makopa tu
JK alidanganya ataigeuza Kigoma kua Dubai hahah.

Mwisho wa siku wamekomaa na mawese yao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…