Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Magufuli huwa anasema VIZULI huyo anayema VIZURI ni mwingine
 
mleta mada ulitumia kipimo gani cha malaria kubaini yule muogeleaji ni JPM?
 
Hata Chadema inakufa lakini inasema ipo vizuri
haha ha Aiseee unaichukia sana chadema ninafikiri kna kiongozi au mfuasi WA chadema alikulikuingilia Kwa nguvu kwennye 0713 yako sio bure Wewe Mdada
 
Ushauri kwa mods wetu...ondoeni maneno *kejeli na magufuli* ili ibaki 'kipanga tena'
 
Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri

Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri

View attachment 960560
Vikatuni huwa vinatafsiri nyingi ndugu usimtafutie kipanya matatizo ya bure
 
Mahaba yako tu hayo kwa kipanya ...... Lakin hakuna uhusiano wowote wa picha na maandishi yako.... Wa Tanzania zaidi ya 20m wenye akili timamu wewe ndio umetafsiri hiyo image na serikali ya Tanzania. Wengi wanaona mtu kazama akionyesha yeye ni mtaalam wa mbiziiii kama nyambiz la ussr
Tena kaaulizwa jamani vipi huko ndokajibu yuko vzr
 
Tuko vizuri yaani tunajua kuogelea vizuri. Kama sivyo basi itakuwa in Taifa staz hiyo iko vizuri kuifunga Uganda
 
Back
Top Bottom