Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Katika kesi ngumu mno kuzitolea ushahidi mahakamani ni hizi za WACHORA KATUNI.

Kisheria ni kwamba,
"Mchoraji katuni siku zote anawajibika kutokana na mchoro wake yeye, Na wala sio tafsiri yako wewe"

Wewe umetafsiri picha yake hivo unavoona wewe kwamba Kamkejeli mweshimiwa,

ila mwingine nae atakuja na kumpongeza mchoraji kwa kuunga mkono juhudi za mweshimiwa.

Nawasilisha
 
Kila mtu na tafsiri yake usitulazimishe tuamini akili yako ilichotafsiri
 
Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri

Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri

View attachment 960560
Magufuli yupo wapi hapo?
 
Hivi wataalamu watuambie inawezekana mkono kuongea? Maana hapo naona mkono na maneno "Tuko vizuri" au aliyezama anawaza akiwa ndani ya maji ila hawaambii walio nje kwani ni vigumu kusikia . Siatokeze hata mdomo tu
 
Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri

Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri

View attachment 960560
Hayo ni maneno yako siyo ya Kipanya!
 
Acheni ujinga mtafikiri nyinyi ni watoto wa chekechea....siku zote katuni za kipanya zipo linked na hali ya siasa za tz...tek that to your wallet
Lijinga ni weye na shangazi zako wenye kutafsiri vitu mnavyojisikia utadhani mnaishi peke yenu duniani.Mkome kushabikia upumbavu.
 
Mzee Kipanya anachora katuni za kisiasa, na mtu ambaye ananukuliwa akisema tupo vizuri kila siku ni Magufuli
A wapi !mm hapa vyuma vimekaza ila demu wangu akipoint out wishes zake ambazo nazikwepa kininja ninja huwa ananiuliza vipi baby mbona hivyo huwa namjibu niko vzr mpaka leo ananiita mzee wa niko vzr sijui kanistukia kuwa sina kitu
 
Nyie mnaohusisha hii katuni na mkuu wa nchi mnakosea sana,mnasahau miss wetu kapotezwa mbaya huko sanya nchini China licha ya kupiga kura mara nyingi ila hakuna kitu yoyote na bado tupo vizuri
 
Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri

Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri

View attachment 960560
uzuri wa sanaa kila mtu anakua na tafsiri yake,mi nimetafsiri kwamba taifa stars inazama huku tukijifariji kwamba tutampiga Uganda goli nne na kufudhu Afcon
 
Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri

Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri

View attachment 960560
Hapo anamaanisha hata kivuko kikizama waokoaji wako vizuri
Sasa hapo ni wapi kamwandika mh rais wetu kipenzi cha wengi chaguo la mungu kamainavyosemekana
 
Back
Top Bottom