unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,869
Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560
Kama anatafsirika kirahisi hivyo basi hiyo Sio sanaa na Yeye Sio msanii ni mwanasiasa. Unaweza pia kuwa unamjua na undugu naye labda kakupigia simu so siwezi kukubishia . Na Siku kipanya akichora katuni na ikatafsirika inamuhusu mpinzani kama mbowe ntag.