Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Kweli nimeamini katika maneno zaid ya elfu moja, neno moja tu linaweza kuharibu ujumbe mzima wa maneno yote. Big up kwa Masoud
Basi Mkulu awe makini anapoongea kwenye kadamnasi. He lacks those skills! he is too mechanical!
 
Kweli nimeamini katika maneno zaid ya elfu moja, neno moja tu linaweza kuharibu ujumbe mzima wa maneno yote. Big up kwa Masoud
Tatizo la mkuu liko hapo. Kilimshinda nini kuongelea mikakati ya serikali yake kuboresha elimu mambo ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu yanjuu na elimu yake ya Bure na mengi sana kama hayo, maana alikuwa anazindua chombo cha kuboresha elimu? Tatizo la kuchomekea vitu vya ajabu kwenye ishu muhimu za kitaifa ndo matokeo yake. Pia anatakiwa kujua yeye ni raisi na sio "Malaika wala jiwe wala kichaa". Akijua hilo watu wataandika yale mazuri anayoyasema ya kuboresha elimu na kutekeleza ilani ya chama chake na sio kunanga watu na wafadhili. Au nimuulize Magonjwa Mtambuka na timu yake kama kuna sehemu kwenye ilani yao ya awamu hii wameandika ni kuhakikisha wapinzania wanajazana magerezani? Nawaza tu ila Haya mambo Haya!!!!!!!!! VUTA-NKUVUTE
 
Sasa hivi ni Mwendo wa Shemeji yetu Benard (Bakari) Camillius Membe anahujumu Serikal Kwa Kuwa yupo Kimya Sana hajawahi kumpigia Simu Mwalimu Bashiru kumsabahi

Wagombea Urais walikuwa zaid ya 15 lakin Membe ndio ambae anakwamisha Juhudi Za Mzee Kwa Kuwa haongei chochote
 
Ndani ntiti nje ntiti, Lindi kuchele.
 
Nimeiona hii picha ya Masoud Kipanya. Ikanifanya nitafakari Hasa kile kinachoendelea Lumumba.
 
Back
Top Bottom