Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,120
Ingia playstore kuna app ya KIPANYASky huwa unapakua wapi? Magazeti mengi mimi naona vichwa vya habari tu. Nipe link tafadhari. Najua na wewe ni mbeba box kama mie.
Ingia playstore kuna app ya KIPANYASky huwa unapakua wapi? Magazeti mengi mimi naona vichwa vya habari tu. Nipe link tafadhari. Najua na wewe ni mbeba box kama mie.
Kama shape ya Koroshohiyo kichwa ya mzee baba
Huna haja ya kuwa member kupitia kurasa za wengine mkuu kama unatumia browser,just google kipanya instagram, link itakujaNashukuru ila mimi siyo member wa hiyo kitu. Sisi ni vikongwe tusiobadilika.
HahahahahahaKama shape ya Korosho
Ana pi hechi dii ya korosho so ni uwanja wa nyumbani lazima wafananeKama shape ya Korosho
Asante ngoja watoto wakitoka shule wanisaidie.Ingia playstore kuna app ya KIPANYA
Nashukuru kwa ushauri.Hunahaja ya kuwa member kupitia kurasa za wengine kama unatumia browser,just google kipanya instagram link itakuja
Asante ngoja watoto wakitoka shule wanisaidie.
mbona hapa upo si ujaribu?Uzee kazi. Mmoja nimempigia kaniambia anaenda lecture mwingine interview mwingina anapeleka watoto shule. We acha tu. mwifwa ndo yupo off labda.mbona hapa upo si ujaribu?
hii inamuhusu Bashite