Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Kwa kuwa naye ni wa kule basi bila shaka aijua vema ladha ya MTAMA.
 
NAFIKRI CHAMA KIITASHONWA NA CHEREHANI KAMA MUUNGANO ULIVYOSHONWA NA BADO UNAENDELEA...😀😀😀😀
 
nilipoona Lowassa kaondoka na hili li chama likabaki limesimama sitegemei muujiza wa kuiondoa CCM madarakani! Juzi hapa rais wa Zimbabwe kaja kjujifunza sijuhi nini na kilichotokea kwenye uchaguzi wa Zimbabwe tumeona
 
CCM chama Mama Afrika na ni mfano kwa vyama vya Njee. CCM ni maisha yangu.

Mh Lowasa sio wa kwanza hata Mh Mrema alishawah kutikisa zaidi na zaidi lakini Chama ni kikubwa kuliko Mwanachama.
 
Nimeiona hii picha ya Masoud Kipanya. Ikanifanya nitafakari Hasa kile kinachoendelea Lumumba.

Ungeongeza maneno

Only clean people will see the picture,

Wenye dhambi hawawezi kuiona
 
Mimi nimeshindwa kuelewa maana hasa ya hii picha kutoka kwa msanii Kipanya
Tafadhali wenye maono na akili ndefu tuichambue hii picha
FB_IMG_1544101132689.jpeg
 
Back
Top Bottom