Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Kila mtu ana utashi wake. Kwa mfano hapa kijiweni nilipo kwa sasa wadau wameangalia hiyo picha wanadai inamhusu MBOWE na baba yake anayezungumziwa hapo ni Chama (Chadema) kilichombeba na mbeleko ya mabua.
Umeelewa ila unajaribu kuchomoka bashite anabebwa sana na jiwe mara avamie clouds mara akwepe ushuru bandarini mhujumu uchumi yule anakimbilia kulia kanisani mara atoe laana ya makontena jiwe kimya kashikwa pabaya sana ile mipango ovu ya kumuua lissu waliyopanga bashite na baba yake ndo analipiza sasa akimwaga mboga dogo anamwaga ugali mzee kashikwa korodani.
 
Hivi kiongozi mkuu wa kiziwa cha Purte kazaliwa kijijini gani na katika hospita ipi?
 
Nashukuru sana kwa ushauri mzuri
Mleta mada anatakiwa kuwa mtu stable na kusimamia hoja, kuanza kubishana na watu wenye mtindio wa ufahamu kunaifanya mada ikose mtiririko uliokusudiwa.
 
DrLove69 Unadhihirisha una fikra finyu especially kwa kuwa umeamua kuwa 'shabiki' wa ccm. Wengi walio huko fikra zao, haziko poa.

Note: Me sio mfuasi wala 'shabiki' wa vyama, ila yanayoendelea nayaona!
 
Peleka Ushoga wako kwa mashoga wenzako huko! Rangi hiyo inaweza kuwa ni mshabiki wa Yanga na nembo inaweza kuwa anawakilisha wakulima na wajenzi (Jembe na Nyundo).
Sumu ya chuki inawamaliza nyang'au nyinyi!
Ningekuwa sina wajukuu, na watoto humu wanaonifahamu na kuniheshimu ningekujibu. Asante.
cc;mwifwa, mshana jr., gemmanuel 265.
 


Hivi ni kweli baba ameshindwa mdhibiti kijana wake!!?
 
DtJHgZOWwAAxPUb.jpg

Nimejikuta Nacheka tu.. Kwa kibonzo hiki.. Creativity.​
 
Back
Top Bottom