Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Nimeshindwa kuuelewa huu ujumbe wa msanii nguri wa katuni MR KIPANYA sijui hapa ana maanisha kitu gani?
FB_IMG_1542459723279.jpeg
 
Hujamuelewa tu?

Anamaanisha ile deadline kwa wapinzani kuziunga mkono juhudi za JPM sasa ndiyo zimefika mwisho

Habari za uhakika ni kuwa pesa "zimekata" toka kule zilikokuwa zinatoka!
 
Back
Top Bottom