Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

Hahah wasanii wetu hao wa Benja wengi walikuwa vilaza

Sent from my HUAWEI SCL-U31 using JamiiForums mobile app
Hatar kabisa mkuu, Benja kulikua na wasanii, watoto wa kishua, watoto wa wabunge, vilaza, na ma genius, alafu kulikua na watoto wa maskini. Yani kulikua kuna kila aina yq maisha.. Nakumbuka toka naanza form one skuwah kula canteen yq shule.. Ilikua kwa big kula mihogo.. Kuna kipindi tukaanza kula ukoko wa ubwabwa pale canteen
 
Siku hizi yupo mtoto wa kibonde wa pale clouds mwembamba kma mti
 
Hatar kabisa mkuu, Benja kulikua na wasanii, watoto wa kishua, watoto wa wabunge, vilaza, na ma genius, alafu kulikua na watoto wa maskini. Yani kulikua kuna kila aina yq maisha.. Nakumbuka toka naanza form one skuwah kula canteen yq shule.. Ilikua kwa big kula mihogo.. Kuna kipindi tukaanza kula ukoko wa ubwabwa pale canteen
Wakati unamaliza ulimuacha bigi anamiliki gari?
Maana skuiz ana IST
 
Duh hapana, nmetoka 2009.mara ya kwanza big alikua anapika mihogo kwenye banda nazani baadae ikaja kuwa darasa ya shule ya gerazani pale.. Hyo 2007..ile shule ya sekondari haikuwepo.. Akahama akahamia nyuma kule, pilipili yake ilkua unajichotea mwenyewe ilikua kama maji, nakumbuka wanafunzi wakawa hawali canteen had masister duu wakawa wanakuja kwa big, uongozi wa canteen ukasema unapata hasara.. Kwa hyo wakazuia watu kwenda kwa big, na sisi member wa big tukagoma tukwa tunaruka ukuta, mwisho wa sku wakaamuru Big aje kupikia mihogo mule ndani karbu na canteen, hii pia ikaleta usumbufu mana mabrother men kuonekana wanakula mihogo wakawa hawataki, basi mwisho wa siku big akarud sehemu yake ya awali
 
Bado anapikia hapo hapo na anawateja wengi sana wengne toka Shule za jirani skuizi ana ki IST bhna za kutanulia mjini
 
Form IV class of 2011... Much respect to MATESHI ESB kati ya waalimu ntakao wakubali maisha yangu yote... Bila kuwasahau Franco, Mkindi, Madam Kassim

Nakumbuka mzee alitaka kunihamisha anipeleke boarding ila ufundishaji wa Mateshi ukanipa ujasiri wa kumwambia asihangaike.... Am glad I made it.

Nimepata taarifa kastaaf this year April.
 
Mzee aliyebaki skuizi ni yule sister madam mfuse
 
Form IV class of 2011... Much respect to MATESHI ESB kati ya waalimu ntakao wakubali maisha yangu yote... Bila kuwasahau Franco, Mkindi, Madam Kassim

Nakumbuka mzee alitaka kunihamisha anipeleke boarding ila ufundishaji wa Mateshi ukanipa ujasiri wa kumwambia asihangaike.... Am glad I made it.

Nimepata taarifa kastaaf this year April.
Mtakua mmemaliza na dogo mmoja sasa hv ni marehemu. Alikua ni home boy na mwanafunzi wangu.. Sijui utakua unamkumbuka.. Alikua ni mmoja wa vijana wanaofajya vzuri kwa mwaka huo wenu
 
Hatar kabisa mkuu, Benja kulikua na wasanii, watoto wa kishua, watoto wa wabunge, vilaza, na ma genius, alafu kulikua na watoto wa maskini. Yani kulikua kuna kila aina yq maisha.. Nakumbuka toka naanza form one skuwah kula canteen yq shule.. Ilikua kwa big kula mihogo.. Kuna kipindi tukaanza kula ukoko wa ubwabwa pale canteen
ukoko umenikumbusha mbali

mida ya saa saba ndio ilikuwa ukoko unaliwa
 
Ivi form i n ii bado wanatenganishwa boys n girls madarasa yao
 
Hii system nazani ilishia mwaka wetu.. Iliisha mwaka 2007 wakati sisi tupo form 2 wale madogo wa form one walikua wanachanganywa...
By the way Benja kulikua na watoto wakali sana
 
Hahaha hatari sanah siku ya usafi ilikuwa raha sana kuona mizogo ndani ya sketi za khaki
 
Back
Top Bottom