Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

Nilipokua form one. Nafikiri alikua Mr. DEO, kipindi hiko joel ni mwalimu wa kawaida tu alikua anafundisha chemistry, advance, alivoondoka DEO sikumbuki alikua nani tena, mana shule ilipoa haikua na mnoko mwingine.
Nmeikumbuka sana benja, tulikua tuna shift mbili kuingia asubuhi hadi saa 6. Nyingine unaanzia saa 6 mpaka 11,kulikua hakuna maswala ya kukaa assembly, yani unaweza kutega hata mwezi mzima na wala usifuatliwe,
Chimbo letu la kusoma kulikua kuna vyoo kule jengo la Azam kabla hata hawajaeka madirisha.
Kila ijumaa kulikua kuna mechi ya mpira, nakumbuka mpaka tunamaliza hatukuwah kucheza na Azania walimu wakihofia ugomvi..
[emoji23] [emoji23] kumbe unalipata lile chimbo sumu

muhuni
 
Sheta nae alisoma Benja mwaka 2008 Aje humu ajibu kwa nn alikuwa mtoro sana shuleni?
 
Sheta nae alisoma Benja mwaka 2008 Aje humu ajibu kwa nn alikuwa mtoro sana shuleni?
Hata bonge la nyau. Nazani alimaliza 2007,mm nilisoma darasa moja na msanii serengeti boy wa shilole, Nuhu mziwanda.. Pia wakati tunaingia form one 2007.tulimkuta Keisha alikua amefeli form 2 mara mbili..
 
Duh..hapo kweli ni nyumba ya mastar ila Keisha amenichekesha sana
 
Back
Top Bottom