Hata lisaa halijapita unayakana maneno yako yasome vizuri ,utueleze laana ya ccm ilingia vip kwenye majibu yakoWapi nilipo sema hayo uliyosema?
Pumbf kabisa wewe, klaza na punguan wa heed!
Sasa wewe unapata buku7 pale lumumba??
Kama namba yake inapatikana means polisi wanaweza kui-trace na kujua iko wapi kama wanavyowa- trace wanaomsema Mkuu. If this is not done , then polisi wanajua aliko! FINAL AND LOGICAL CONCLUSIONJamani nimesikia simu ya roma inapatikana ukituma sms na wasap zote zinakua deriverd..
Sasa kama kuna mtu anayo namba yake anitumie nimcheki sasa hiv ntawambia yupo wapi
Sio mzima wwsi bora huo muda wa kwenda kutafuta mtu aliyeamua kujipoteza mwenyewe uutumie Walau kwenye shughuli za kilimo,tena na masika hii?
Unaelewa maana ya kuwa na laana wewe?Hata lisaa halijapita unayakana maneno yako yasome vizuri ,utueleze laana ya ccm ilingia vip kwenye majibu yako
Acha kumuhusisha Mungu kwenye jambo kama hili na elewa Mungu hapangiwi na hana mawazo kama yako .Kwahiyo wenye maradhi ndio wenye mizaha. Nyinyi ndo msioelewa chochote .Mkuu huyo si binadam na Inshallah km anafanya mzaha basi Mungu atamshushia la kumshushia ataijua dunia, kuna muda unaweza muona mtu anapata shida ya maradhi au jambo lolote kumbe Mungu anamuadhibu kwa jambo au kauli aliyowahi kutoa na akadharau kuona ni kawaida tu. Huyu ni MSHENZI. waswahili wanajua mtu mshenzi ni mtu wa aina gani. SHENZI KABISA.
Mpuuzi km wewe sijui Kwanini upo katika mtandao huu kwanini hukujiunga na mbwa wenzio wauza nyapu uwanja wa fisi hukoNenda tu kamsake ngoja Mimi nisake hela kwanza .Ukimpata mwambie akuweke hata kwenye video yake
Upeo wako mfupi km ww mwenyewe, Mungu humpa mtu jambo kwa sababu mbili tu. Humpima imani, au humuadhibu kwa kosa alolifanya. Usibishane km huna elimu ya uungu. Hujui kitu ndo mana unaropokwa tu.Acha kumuhusisha Mungu kwenye jambo kama hili na elewa Mungu hapangiwi na hana mawazo kama yako .Kwahiyo wenye maradhi ndio wenye mizaha. Nyinyi ndo msioelewa chochote .
Asa laana ya ccm inahusika vip na huu uzi wa kumtafuta Roma tulia mkuu punguza jazba.Unaelewa maana ya kuwa na laana wewe?
Ndiyo nimesema maccm ikiwemo hata wewe mna laana, basi na wewe pia unahusika kumteka kama akili yako imeelewa hivyo!
Nikiweka picha yangu na kusema mahali nilipo naomba nikupitie twende wote magogoni kupekenyua ikulu. Niko tiyari kwa iloHuu ujasiri wa kwenda ku sachi hadi ikulu kama unavyoongea ungeuonyesha japo kwa kuweka picha yako na mahali ulipo ili tuungane ingekuwa vyema sana
Jambo la kumsaka Roma ni hiari ya mtu sizani kama huku wanahitaji watu kama wewe silaha yako kubwa ni matusi na sio hoja.Mpuuzi km wewe sijui Kwanini upo katika mtandao huu kwanini hukujiunga na mbwa wenzio wauza nyapu uwanja wa fisi huko
Kutokujua laana ya ccm inahusika vipi ndio laana yenyewe hiyo!Asa laana ya ccm inahusika vip na huu uzi wa kumtafuta Roma tulia mkuu punguza jazba.
Tatizo ni kejeli aliyotoa. Kwani kuna alyemlazmisha? Si angekaa kimya!@@!@@Jambo la kumsaka Roma ni hiari ya mtu sizani kama huku wanahitaji watu kama wewe silaha yako kubwa ni matusi na sio hoja.