ogunde Daniel
Member
- Mar 11, 2017
- 77
- 24
Bashite wengi hata kwenye hili unaleta utaira wakoNenda tu kamsake ngoja Mimi nisake hela kwanza .Ukimpata mwambie akuweke hata kwenye video yake
Bashite wengi hata kwenye hili unaleta utaira wakoNenda tu kamsake ngoja Mimi nisake hela kwanza .Ukimpata mwambie akuweke hata kwenye video yake
Kwahiyo ccm ndo wamemteka sio?Acha kuleta ushabiki wa kimandazi ! Fikiri mara mbili kabla hujaanza kuongea ujinga ! Vyama vitawatumia tu wao wanapiga pesa na naamini mtu kama wewe hupati hata shilingi kwenye vyama unavyoshabikia .Akili zako zimehamia matkon ee?
Nyie maccm mnalaana mbaya sana mjue!
Binadamu wote wana roho mbaya na nzuri inategemea na akili ya mtu anaehukumu kwa wakati huo . Siwezi kataa maoni yako juu ya roho yangu[emoji38]Wewe ni mtu wa kupuuzwa tu na sidhani kama ni binadamu kweli wewe utakuwa una DNA za fisi lazima. Kwa akili na roho hiyo mbaya!
maulana = Maulananchi ilipofika anajua maulana tu
Yule ajuaye neno na asilifanye hufananishwa na mpumbavu,naamin kabisa utatoka kwenu kwenda kumtafuta usipofanya hivyo maneno yako yatakurudia (nasubiri kuona mimi na wewe nani hasa mpumbavumpumbavu mkubwa wewe!
Wapi nilipo sema hayo uliyosema?Kwahiyo ccm ndo wamemteka sio?Acha kuleta ushabiki wa kimandazi ! Fikiri mara mbili kabla hujaanza kuongea ujinga ! Vyama vitawatumia tu wao wanapiga pesa na naamini mtu kama wewe hupati hata shilingi kwenye vyama unavyoshabikia .
Ndo maana vyombo vya dola vikawekwa ni mgawanyo wa majukumu unataka Tanzania nzima tukamtafute! Hapo mwishoni umeweka lugha siyo yetu penda kutumia lugha moja usichanganyechanganye lugha !Inasikitisha sana kuona kuwa kwa baadhi ya watu hawaoni kama kunatatizo kwa watu kupotea bila ya kupata Maelezo making kutoka ktk vyombo vya dola, halafu watu wengine kulifanyia mzaha tatizo hili!...., kwako wewe kutafuta hela ni muhimu kuliko utu?....something must be wrong in your brain!
HapanaWw ndio yule aliye mtolea Nape bastola?[emoji35]
Umetoka kuzimu ww? Nahisi we sio binadamu maana kwako usalama wa binadamu mwenzako haukuhusu. Hela utazipata lakini hutazikwa na hata senti 1...Nenda tu kamsake ngoja Mimi nisake hela kwanza .Ukimpata mwambie akuweke hata kwenye video yake
Kumbe ccm walimteka? Ungetueleza vizuri ,Roma ni msanii anahusika vipi na mambo ya chama chao ?kwa nini isiwe mbowe ,Rungwe nembu tuelekeze mkuuNdio maana polisi wakiuwawa na majambazi watu hufurahia kwani yako kwa ajili ya kulinda interests za CCM shenz. Mkiua kila mtu mtatawala nini sasa
Sina chama mkuu ! Lumumba wanatoa hizo buku7? au ni msemo ulioukuta humu . Kua kifikira kwanza .Wapi nilipo sema hayo uliyosema?
Pumbf kabisa wewe, klaza na punguan wa heed!
Sasa wewe unapata buku7 pale lumumba??
Tumia akili kwanzaNenda tu kamsake ngoja Mimi nisake hela kwanza .Ukimpata mwambie akuweke hata kwenye video yake
Kuandika kwenyewe hujui, rudi kwanza darasa la tatu wewe kilaza kisha uje urekebishe hilo shudu lako, ndipo tuende sawa!Sina chama mkuu ! Lumumba wanatoa hizo buku7? au ni msemo ulioukuta humu . Kua kifikira kwanza .
Bashite huyu mtu wa kufikirika inasemekana ni mkuu wa mkoa wa kufikirika pia elimu yake haieleweki nachompenda alizichanga karata zake vizuri mpka akafika hapo kupitia chama.bora huyu kuliko wewe unayechotwa bila faida yeyote .Bashite wengi hata kwenye hili unaleta utaira wako