Wa madawa ya kulevya au wanaodai madeni ndio wakuwaupiza.
Mh. Makonda aliyaanza mkapiga kelele msitajiwe, sasa hao pia na wasioipenda serikali wanafanya mengi siku hizi.
Msisahau polisi hawakurupuki ni kusubiri masaa 48.
Kuna jambo sielewi, ilisemwa waliitwa wawili wakaenda na kurudi kuwaita wengine.
Kabisa hawakusema wanapoenda au wanaongea na nani kwa waliobaki hapo?
Tunajua walienda kama vile kawaida ya wanaojuana kuondoka pamoja. Yaani wangeona waliowaita ni hatari basi hata mayowe wangeyapiga.
Kingine huyo Roma hata alipoongea na mkewe mida ya saa 12, hakusema atakwenda studio yeye mkewe alikuwa anamsubiri nyumbani.
Kingine kwanini Prof Jay yule mbunge alikimbilia kuandika mitandaoni bila hata ya kuhakikisha familia yake imepewa habari. Yaani mbunge anakurupuka kusambaza maneno ya kiuchochezi, hapo naona kuna jambo kwa sababu hamna aliyesubiri hata asubuhi ifike. Kutokumjulisha mkewe na wao kulitungia habari zaidi naona kuna kitu hakipo sawa, kwa sababu tuhuma zimepelelwa kwa viongozi wawili wanaonyoosha nchi. Nimeangalia video aliyosema mkewe, nae kama anashangaaa kuna ambavyo havielewi vimekaa odd sura yake na anavyoongea yanaonyesha mengi.
Hao walioenda wapajuapo, kwanini mnafikiri wataiangusha serikali hadi wao ndio wasakwe? Wana nini haswa!? Mnajua hawana kitu hata mwimbo kama walitaka ouimba hasi hao wenzao wanajuana nao katika mishe zao na kujuana nani ni nani.
Ukweli wa ilivyokuwa usiku huo haujawekwa wazi, kama vile kuna wanaotunga ya kudanganya. Majirani etc pia wapo
Lingine hao hawana maadui, madeni, kujiingiza ktk yasiyowahusu ya wapiga madili ya kuvunja sheria?
Issue hii imepangwa na kukuzwa kutaka kujaribu tena juu ya Kiongozi jembe.
Mtanyooka tu
Tuwaombee hao waliosuka hilo gemu la watu kupotea wasifanyiane mabaya, haswa kwa kugeukana.
Mnaochafua serikali na viongozi kwa sababu mnaisoma namba, ipo siku ha ha haaaaaa mtajuta wenyewe nyie wafata mikumbo msiofikiria.