halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,101
- 5,266
0717720078 Roma
Wataalam wa IT tuanzie hapo namba ipo hewan lakin haipokelew
Wataalam wa IT tuanzie hapo namba ipo hewan lakin haipokelew
Kiukweli inaumiza mnooMimi nimethibitisha hili baada ya kuona hii movie ya kijinga waliyocheza tale na makonda ili kupata publicity!
Waache utani kwenye roho za watu!
Binafsi mwanaume ila nilioona anazungumza yule mke wa roma niliuumia kweli moyoni
Kama Simu Yake Inaita Kwanini Polisi Wasiitafute Sehemu Ilipo?
Kama Kuna Watu Wanaofanya Kazi Kwenye Mashirika ya Simu Wenye Uwezo Wa Kuitazama Simu Inaita Kutoka Sehemu Gani Wanaweza Kusaidia
Mimi nimethibitisha hili baada ya kuona hii movie ya kijinga waliyocheza tale na makonda ili kupata publicity!
Waache utani kwenye roho za watu!
Binafsi mwanaume ila nilioona anazungumza yule mke wa roma niliuumia kweli moyoni
yani wewe ndo kabisa boya...saka hela wenyewe waliomchukua watamleta.Yuko kwenye mikono salama,haezi fanywa kama ulimbokaWewe ni mtu wa kupuuzwa tu na sidhani kama ni binadamu kweli wewe utakuwa una DNA za fisi lazima. Kwa akili na roho hiyo mbaya!
Makonda hata akituma watu wa kufanya upelelezi na hata kumwokoa Roma, hatutaandika habari hizo! Kususa kwingine kubaya!
Alafu Roma Ni Nani Labda Eti KampeniNenda tu kamsake ngoja Mimi nisake hela kwanza .Ukimpata mwambie akuweke hata kwenye video yake
Nafikiri ushauri huu unakufaa zaidi wewe! Kumsaka Roma ni hiari kama alivyosema mleta Uzi . Kibaya zaidi unaenda kutafuta mtu ambaye hujui kisa cha kupotea kwake,asa nani wa kupimwa?Kapimwe kwanza ndipo uje jukwaani
Hivyo ni vitu vya kufikirika tuBinafsi Nina wasiwasi na free Mason. Kitendo cha kuwakaribisha hapa Tanzania ni kuharalisha MAOVU yao, Kwani ibada zao huambatana na kutoa kafara. Vyombo vya ulinzi viangazie na mtandao huu Kwani kwa tz ni kitu kipya. Hawa jamaa ni hatari Sana Kwani mtandao huu huhusisha matajiri wakubwa na viongozi wakubwa. Siro angalia na Hili.
LiveWaturudishe roma
Wambebe domo wapotee nae kabsa
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ndio mini sasa?
Wewe nenda kapike tu.