Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,085
- 5,299
AiseeOffside, ngoma bado mbichi hii tulieni.
AiseeOffside, ngoma bado mbichi hii tulieni.
Mkuu hamna timu hapo... Huyo Chalii wa Burnley eti ndo Lewandowsky wao, hawa jamaa wana masihara sana... In general wanacheza mpira soft sana,... South Africa nawapendaga tu Mamelodi Sundowns tu.DUBULIHASA mkuu vipi?
Sauzi wanabeba?
Mamelodi ndio style wanaocheza Bafana bafana...Mkuu hamna timu hapo... Huyo Chalii wa Burnley eti ndo Lewandowsky wao, hawa jamaa wana masihara sana... In general wanacheza mpira soft sana,... South Africa nawapendaga tu Mamelodi Sundowns tu.
Wapigwe tu, wao walitupiga hapa na PetroAngola vipi??