Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,050
- 126,079
Kabisa yaani rafiki wakatunyooshee.Nigeria wakatunyooshee Moroco Kwanza
Morocco alipofika panatosha. 😀
Kabisa yaani rafiki wakatunyooshee.Nigeria wakatunyooshee Moroco Kwanza
Ndio rafiki sio kwa kubebwa kule! Kwa Nigeria Ni wajipange sio kidogoKabisa yaani rafiki wakatunyooshee.
Morocco alipofika panatosha. 😀
Kabisa yaani.Na kafika hapo kwa mchongo
No way Algeria outttttttt!!!!6' added minutes
Basi Mwamnyeto aheshimiweNdio hawa hawa Mkuu.
😀😀😀😀Sheria ziboreshwe, timu ikiona hakuna namna captein aongee na refa amalize mpira
Sijawah shabikia NIGERIA Lakini mbele ya Morocco Niko tayari kufanya hivyoHakika leo ball limepigwa