Sure, ungesema bao ningeshangaaAiseee. Gooli saaafi kabisa. 😂😂
Hahahaaa. Wasisahau na ile ukifungwa mfululizo zaidi ya mara 5 nayo unaomba tu msiingie uwanjani. Teh. 🤪🤪Sheria ziboreshwe, timu ikiona hakuna namna captein aongee na refa amalize mpira
Siku hizi Waarabu hamna kitu aisee.La pili. Kwa kweli Algeria wanateseka sana.
Jikite kwenye mada bibie. Hayo mengine yanakujajeHahahaaa. Wasisahau na ile ukifungwa mfululizo zaidi ya mara 5 nayo unaomba tu msiingie uwanjani. Teh. 🤪🤪
Wameisha sana. Hata kwenye vilabu.Siku hizi Waarabu hamna kitu aisee.
Hebu toka hapa we nae. 😅Sure, ungesema bao ningeshangaa
Hivi Semi Final anakutana na nani kwani?Huu moto Nigeria nilitamani sana Morocco wakutane nao
Pole Kipenzi Changu.Jikite kwenye mada bibie. Hayo mengine yanakujaje
Hatari hii Mkuu.Shots 10 kwa sifuri!!?
Kweli kabisa.Wamebakia kutegemea mbeleko za marefa