Nauliza Morocco atakutana na nani?Ndio watakutana sasa.
14 Januari
🤣🤣 anaanza mambo ya ajabu
Saafi.Atakutana na Nigeria, akishinda hii game
Na mie naombea iwe hivyo.Baadae Ivory Coast atusaidie tena kuwaadhibu mafarao
Hivi huyu anamfikia yule refa Msauzi kweli? 😅Refa kachufukwa...
Algeria outttttttt!Wanafurahisha kinoma
Nigeria wakatunyooshee Moroco KwanzaAtakutana na Nigeria, akishinda hii game