Bora goli la mapema upinzani mtajipanga mkomaea kurudisha kuliko kama la Kongo dakika zamajeruhi ambazo hamna namna yakufanya mkarudishaMlima unakuwa mrefu
Naona Ivory coast nao Wana attempt attempt!Dakika ya 22
Misri 1
Ivory Coast 0
Kila la kheri kwaoWatapata goli, japo sina imani na Muamuzi